Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

Dah! Yani ni sawa na unamgonga demu hadi anachubuka alafu aseme hata hujaniingizia dudu 😆
 
Propaganda zingine hadi zinatia huruma!! Kama Urusi inatumia silaha dhaifu imewezaje kuteka jimbo lote la Kherson? Imewezaje kukomboa Mariupol, imewezaje kufunga bandari za ukraine hadi hawawezi kusafirisha bidhaa?? Kwa nini analia lia kila siku akiomba misaada ya kijeshi kwa nchi za magharibi!! Ukweli nhi kwamba maji yamezidi unga??

Askari wa kinazi waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda cha chuma cha Azovstal hapo Mariupol mbona wamesalimu amri na sasa wanasubiri kusimama kizimbani?? Si mwanzo walisema hawawezi kusalimu amri imekuwaje sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…