Rais wa Urusi Vladmin Putin anavyomwangalia Tulia Akson unadhani anafikiria nini?

Rais wa Urusi Vladmin Putin anavyomwangalia Tulia Akson unadhani anafikiria nini?

Kamfananisha na rango nasikia putin ni mpenzi wa cartoon.
Alikuwa anamsikia yupo tanzania
 
View attachment 3040646She is a woman!
She is black!
She comes from poorest country!
She is from Africa!
What does she think she is, to talk to me?
Does she know any thing about war?
......................
Ongezea na wewe ....
Sidhani kama ana mawazo haya uliyoyaandika hapa:

Putin anaongoza nchi ambayo imetengwa na mataifa makubwa kwa hio target yake kwa sasa ni kupata ushawishi kutoka nchi za Africa, na kwa sasa hivi wana zi treat nchi za afrika kwa heshima kubwa sana kwa sababu wanatafuta support na biashara. Pamoja na kwamba warusi wengi ni wabaguzi lakini ikifika kwenye interest zao wanatumia akili na Putin ana exposure ya kutosha na anajua historia ya Ru na Africa.
Kitu kingine warusi wanapenda sana vimodo kama Tulia Akcson hapo usikute anakamezea mate katulia ketu
 
Back
Top Bottom