Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

Inadaiwa FSB wamempa sumu kali sana na huenda asipone ,ni baada ya kuruhusu nchi zilizo pakana na Russia kujiunga na NATO kumbuka Uturuki ndio alikuwa anashikilia wasipewe ,kuna tetesi waturuki wanaweza kutumia kupambana na Russia kana itabainika ni kweli, Russia kazi anayo

USSR
Sio kweli, Urusi inamtama Rais Edogan kama mshirika wake wa karibu sana, uchaguzi unakuja tarehe 14 May 2023, Urusi inamtaka Edogan ailendelee kuingoza Uturuki huku West wakimtaka mpinzani wake Kemal Kılıçdaroğlu aje kurudisha uhusiano wa karibu kati Uturuki na West.
Kumbuka 2016 CIA walikuwa ktika jaribio la kutaka kumpindua Edogan ila msaada aliupata kutoka FSB ambao ndiyo wamefanya mpaka leo awepo.
Turkey ana tatizo la kidiplomasia na Sweden ambao waliwahifadhi waliopanga mapinduzi 2016 katika jaribio lilifail la kumpindua Edogan ila Finland hana issue nako, Sweden hajapata bado uanachama wa NATO.

Screenshot_2023-04-27-09-06-41-68_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
CIA walitaka kumpindua 2016 akapata msaada toka Russia akapona, Majuzi mara baada ya wanajeshi kuingia katika msikiti wa Al-Qais na kuwapiga Wapalestina ndani ya msikiti, Edogan aliwaambia waarabu wenzie kuwa sasa ni wakati wa kushikamana dhidi unyama wanaofanyiwa Palestina dhidi ya Israel.
Kwa hiyo ikawa je?
 
CIA walitaka kumpindua 2016 akapata msaada toka Russia akapona, Majuzi mara baada ya wanajeshi kuingia katika msikiti wa Al-Qais na kuwapiga Wapalestina ndani ya msikiti, Edogan aliwaambia waarabu wenzie kuwa sasa ni wakati wa kushikamana dhidi unyama wanaofanyiwa Palestina dhidi ya Israel.
Huyu sio muarabu,hawa waturuki,ni nusu wazungu na nusu ni waasia.Hawana uarabu,wana lugha yao na maandishi yao ya Kituruky,tofauti na kiarabu.Hata majina yao ni tofauti na ya kiaràbu.
 
Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao.
Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan anatarijia kugombea tena katika kinyang'anyiro hicho.
View attachment 2600870
Alichanja huyu,na alianguka ghafla,most likely itakuwa ni effect ya Chanjo.It is said he is suffering from Myocarditis,na Myocarditis ni side effect moja wapo ya C-19 Vaccines.
 
Back
Top Bottom