Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

Leo akiwa kwenye kikao na Rais WA dunia.
20230427_230536.jpg
 
Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao.
Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan anatarijia kugombea tena katika kinyang'anyiro hicho.
View attachment 2600870
Leo akiwa kwenye kikao na Rais WA dunia.
20230427_230536.jpg
 
CIA walitaka kumpindua 2016 akapata msaada toka Russia akapona, Majuzi mara baada ya wanajeshi kuingia katika msikiti wa Al-Qais na kuwapiga Wapalestina ndani ya msikiti, Edogan aliwaambia waarabu wenzie kuwa sasa ni wakati wa kushikamana dhidi unyama wanaofanyiwa Palestina dhidi ya Israel.

Problem is waarab wenyewe hawana umoja.
 
duh angestaafu tu

Afe kabisa. Kizee cha ovyo kina udikteta ,unafiki na uchu wa madaraka,hakina tofauti na museven wa Uganda.

Mara kiwe upande wa west mara kije upande wa Russia,akiwleweki kinataka nini.

Bumbav kabisa.
 
Wakati huo Tanzania haikuwepo na wewe hukuwepo.Kasome ottoman empire.
Ottoman ilishindwa ata kuwatawala jirani zake, Ugiriki, Bulgaria, Ukraine na Armenia. Katika tawala za dunia zilizopita hakuna kinachoitwa Ottoman empire, ila ukienda Uturuki na Azam tv utasikia story hizo. Empire za dunia Babel na Waamedian, Uyunani(Greece), Roman(old Roman and new Roman).
 
Back
Top Bottom