Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

Sio kweli, Urusi inamtama Rais Edogan kama mshirika wake wa karibu sana, uchaguzi unakuja tarehe 14 May 2023, Urusi inamtaka Edogan ailendelee kuingoza Uturuki huku West wakimtaka mpinzani wake Kemal Kılıçdaroğlu aje kurudisha uhusiano wa karibu kati Uturuki na West.
Kumbuka 2016 CIA walikuwa ktika jaribio la kutaka kumpindua Edogan ila msaada aliupata kutoka FSB ambao ndiyo wamefanya mpaka leo awepo.
Turkey ana tatizo la kidiplomasia na Sweden ambao waliwahifadhi waliopanga mapinduzi 2016 katika jaribio lilifail la kumpindua Edogan ila Finland hana issue nako, Sweden hajapata bado uanachama wa NATO.

 
Kwa hiyo ikawa je?
 
Huyu sio muarabu,hawa waturuki,ni nusu wazungu na nusu ni waasia.Hawana uarabu,wana lugha yao na maandishi yao ya Kituruky,tofauti na kiarabu.Hata majina yao ni tofauti na ya kiaràbu.
 
Alichanja huyu,na alianguka ghafla,most likely itakuwa ni effect ya Chanjo.It is said he is suffering from Myocarditis,na Myocarditis ni side effect moja wapo ya C-19 Vaccines.
 
Apumzike tu kufanya siasa, ajiuguze
Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan anatarijia kugombea tena katika kinyang'anyiro hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…