gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Rubio anasema oparesheni imeisha,sasa ndani Venezuela si utawala unaendelea tu!!..watakua na msimamo wa kuwapa futa marekani kweli!?Kabisa...
Watusaidie na sisi jamani huku AfrikaRais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake.
Kupitia taarifa aliyotoa kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amesema operesheni hiyo ilifanywa kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya Marekani, huku akieleza kuwa maelezo zaidi yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika saa 11:00 asubuhi kwa saa za Marekani Mashariki, katika makazi yake ya Mar-a-Lago, Florida.
Hata hivyo, Rais Trump hakutoa maelezo ya kina kuhusu jinsi Maduro alivyokamatwa wala amepelekwa wapi, wakati serikali ya Venezuela bado haijathibitisha rasmi taarifa hizo.
View attachment 3524572
==========WASHINGTON, Jan 3 (Reuters) - The U.S. has struck Venezuela and captured its President Nicolas Maduro, who has been taken out of the country, President Donald Trump said on Saturday.
The U.S. has not made such a direct intervention in Latin America since the invasion of Panama in 1989 to depose military leader Manuel Noriega.
"The United States of America has successfully carried out a large scale strike against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro, who has been, along with his wife, captured and flown out of the country," Trump said in a Truth Social post.
There was no immediate confirmation from the Venezuelan government.
The U.S. has accused Maduro of running a "narco-state" and rigging an election. The Venezuelan leader, who succeeded Hugo Chavez to take power in 2013, has said Washington wants to take control of its oil reserves, the largest in the world.
Source: Reuters
Unafurahia ubeberu!..watu wenye low IQ mna shida sana,hapo maana yake ukiwa na rasilimali mabeberu watazifuata,ukikataa kinafuata cha Iraq,Libya, Afghanistan, VenezuelaView attachment 3524608
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Si mlisema Trump hashughuliki na mambo ya Nchi zingine? Sasa anzeni Kunyoa, marekani sio shithole ndugu zanguni ni Nchi yenye principles na haitegemei rais kama individualRubio anasema oparesheni imeisha,sasa ndani Venezuela si utawala unaendelea tu!!..watakua na msimamo wa kuwapa futa marekani kweli!?
Kama laa basi hii ilikua show tu ya kujimwambafai marekani
Uchaguzi wa mwaka 2024 alishinda mpinzani kabla Maduro hajajitangaza ushindi Kwa lazima.Mnieleweshe ikitokea hivyo nchi inakua chini ya nani? Maana si wanasema washirika wake wote pia wamesakwa?
Endeleeni kuuwa watu mwenzenu amedakwa kama NzigeUnafurahia ubeberu!..watu wenye low IQ mna shida sana,hapo maana yake ukiwa na rasilimali mabeberu watazifuata,ukikataa kinafuata cha Iraq,Libya, Afghanistan, Venezuela
Maana yake wengine hamtakiwi kuinuka na kuwa na nguvu
Msneno ya kangaUnaichukulia China kama Urusi kijeshi si ndio.
Nani ana ubavu wa kuingia kwenye confrontation na China kisa Taiwan? Huyo Marekani mwenyewe atakuwa na upinzani mkubwa within. Kama kwa Japan alijipanga sana na udogo wa ile nchi sembuse kwa China, na hapo ukijipanga ukasubiri fleets zifike South China sea tiyari Taiwan siyo huru tena.
Invasion ya China kwenda Taiwan inatumia few weeks kujipanga. US itahitaji miezi kadhaa kujipanga kupigana na China pale Taiwan, muda huo Taiwan iko chini ya China tiyari.
It's not worth the risk kupigana na China kisa Taiwan. Hutoamini
We the Sovereign Kantri😂😂😂Rais wa nchi anakamatwa na nchi nyingine!!
Nchi yenye principals au nchi ya kibepari inayoongozwa na mabepari bila kujali rais nani!?..kwa akili yako hapo marekani haijafanya kwa maslahi yao bali demokrasia ya Venezuela!?..una safari ndefu sanaSi mlisema Trump hashughuliki na mambo ya Nchi zingine? Sasa anzeni Kunyoa, marekani sio shithole ndugu zanguni ni Nchi yenye principles na haitegemei rais kama individual
Marekani kishasaini mkataba na tz wa gas na madini adimu,kama unadhani anakujali sana na fangasi zako mapajani basi pole samakiEndeleeni kuuwa watu mwenzenu amedakwa kama Nzige
Sasa Marekani anapata wapi moral authority ya kumwambia Urusi asimvamie Ukraine?
Hapo nafikiri uchaguzi utafanyika na marekani ataweka kibaraka wake. Kazi itakuwa imeisha.Rubio anasema oparesheni imeisha,sasa ndani Venezuela si utawala unaendelea tu!!..watakua na msimamo wa kuwapa futa marekani kweli!?
Kama laa basi hii ilikua show tu ya kujimwambafai marekani
Nilisikitika sana nilipoona Traole anafukuza Wamarekani akakimbilia msaada wa Urusi, ule ni mtego mkubwa sana kwakeIla Russia sio ya kuiamini kabisa
Mpeni mwanaume achimbe madini nyie endeleeni kulima pilipili na matikitiMarekani kishasaini mkataba na tz wa gas na madini adimu,kama unadhani anakujali sana na fangasi zako mapajani basi pole samaki
Nashangaa sijui yuko wapi mpaka sasa,alitakiwa afanye jambo ile octobe 29 chapppTrump tusaidie na huku kwetu
SCARS, TATTOOS, OR MARKS: UnknownWANTED: NICOLÁS MADURO MOROS
REWARD INCREASE OF UP TO $50 MILLION
Download the Reward Poster – English [158 KB]
Download the Reward Poster – Spanish [162 KB]
View attachment 3524613
NAME: Nicolás Maduro Moros
ALIASES: N/A
DOB: November 23, 1962
POB: Caracas, Venezuela
NATIONALITY: Venezuelan
CITIZENSHIP: Venezuelan
HEIGHT: 6’3”
WEIGHT: Unknown
HAIR COLOR: Black
EYE COLOR: Brown
SCARS, TATTOOS, OR MARKS: Unknown
Nicolás Maduro Moros became president of Venezuela following Hugo Chavez’s death in 2013 and declared victory in a presidential election in 2018.
In 2019, the National Assembly of Venezuela invoked the Venezuelan constitution and declared that Maduro had usurped power and was not the president of Venezuela.
Since 2019, more than 50 countries, including the United States, have refused to recognize Maduro as Venezuela’s head of state.
In the July 2024 Venezuelan presidential election, Maduro again declared himself the victor despite evidence to the contrary.
The United States joined many other countries in refusing to recognize Maduro as the legitimately elected president in the 2024 contested election.
Maduro helped manage and ultimately lead the Cartel of the Suns, a Venezuelan drug-trafficking organization comprised of high-ranking Venezuelan officials.
As he gained power in Venezuela, Maduro participated in a corrupt and violent narco-terrorism conspiracy with the Revolutionary Armed Forces of Colombia (FARC), a designated Foreign Terrorist Organization.
Maduro negotiated multi-ton shipments of FARC-produced cocaine; directed the Cartel of the Suns to provide military-grade weapons to the FARC; coordinated with narcotics traffickers in Honduras and other countries to facilitate large-scale drug trafficking; and solicited assistance from FARC leadership in training an unsanctioned militia group that functioned, in essence, as an armed forces unit for the Cartel of the Suns.
In March 2020, Maduro was charged in the Southern District of New York for narco-terrorism, conspiracy to import cocaine, possession of machine guns and destructive devices, and conspiracy to possess machine guns and destructive devices.
After initially offering a reward offer of up to $15 million for information leading to the arrest and/or conviction of Maduro in 2020, the Department of State on January 10, 2025, increased the reward offer to up to $25 million. On August 7, 2025, the Department announced the further increase in the reward offer to up to $50 million after the Department of Treasury sanctioned Cartel of the Suns as a Specially Designated Global Terrorist on July 25, 2025.
As leader of Cartel of the Suns, Maduro is the first target in the history of the Narcotics Rewards Program with a reward offer exceeding $25 million.
If you have information, please contact the DEA by email at CartelSolesTips@usdoj.gov.