hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁😁 Propaganda IleHalafu eti tuna Kitu kinaitwa UN Security Council!!!
😁😁😁😁 Propaganda IleHalafu eti tuna Kitu kinaitwa UN Security Council!!!
Naam this is what I thinkMichezo ya wakubwa hiyo, unafikiri shinikizo la Trump kwa Ukrane kukubali mpango wa amani ulioandaliwa na Urusi lilikuwa bure...Urusi kapewa Ukrane, USA kaachiwa venezuela
Hizo ni siasa za Dunia ulimwengu unavyo endeshwa inahitaji uwe na Akili nyingi sana kuweza kubaini yanayo endelea nje ya Akili ya kawaidaMaduro alikuwa andanganywa na wachina kwamba tuko nyuma yako. Wachina hawawezi kumsaidia mtu nje ya nchi yao. Nguvu walio nayo ni kujilinda waowenyewe sio kumkingia mtu kifua mbele ya wababe wa dunia USA.
😁😁😁Aje amkamate huyu Maduro wa bei ya jioni vinginevyo hata huyo Maduro original atakua ameonewa.
Daah 😁Who are you nahisi kinembe kimemsimama mpaka kikarusha water guard!
Hata USAIDs hiyo ndio ilikuwa michezo YaoSiyo CIA personnel tu, Kuna shirika AMBALO ni wing ya CIA linaitwa Peace Corp hata TANZANIA lipo hao wanakujaga kama volunteers na wanakuwa stationed vijijini kabisa huko, ukiona Yale matamko ya US Tanzania Security Alert huwa taarifa wanapenyezewa na hao watu hao, pia wanaotafuta TISS wazoefu wale wenye Siri za ndani wanawapiga dolari za kutosha maana US uchumi mkubwa hawashindwi kuwahonga Hawa TISS Njaa ili kupata taarifa sensitive kuhusu Jumba Jeupe, yaani daily Hawa watu wapo on Air, masaa 24 wanapokea taarifa nyeti Sana kuhusu nchi
😁😁😁 Watu wengi hawalijui Hilo wanajiendea tuMkuu, amka uachane na hizi propaganda. Marekani haijali haki wala sijui udikteta, wao wanajali maslahi yao tu.
Ndio maana waliunga mkono baadhi ya watawala madikteta wa nchi za Latin America wakati wa vita baridi.
Ilimuunga mkono Saddam Hussein katika vita yake na Iran.
Iliusaidia silaha kwa siri utawala wa kina Khomeini wa Iran wakati wa vita yake na Saddam Hussein licha ya kwamba wakati huo huo walikuwa wanamuunga mkono Saddam. Siri ikaja kufichuka, soma Iran-Contra Scandal.
Walimuunga mkono Shah Pahlavi wa Iran na Savak yake.
Iliunga mkono madikteta wa Korea kusini akina Syngman Rhee, Park Chun-Hee na Chun Doo-hwan.
Fulgencio Batista wa Cuba.
Ferdinand Marcos wa Ufilipino.
Mobutu Seseseko wa Zaire.
Akina Somoza wa Nicaragua.
Akina Duvalier wa Haiti.
Wote waliungwa mkono na Marekani.
Hakuna cha demokrasia, haki za binadamu wala sijui uhuru, Marekani wao wanapigania na kuchunga maslahi yao.
Drugs ni propaganda tu hiyo ,Hivi ana kosa gani huyo mwamba? Au ndio issue za drugs?
Alifanyeje?Maduro kafichwa kabatini USA kama gudulia la wanzuki.Mdomomdomo na mustachi kama vijiti vya chelewa kwisha habari.