Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake.

Kupitia taarifa aliyotoa kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amesema operesheni hiyo ilifanywa kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya Marekani, huku akieleza kuwa maelezo zaidi yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika saa 11:00 asubuhi kwa saa za Marekani Mashariki, katika makazi yake ya Mar-a-Lago, Florida.

Hata hivyo, Rais Trump hakutoa maelezo ya kina kuhusu jinsi Maduro alivyokamatwa wala amepelekwa wapi, wakati serikali ya Venezuela bado haijathibitisha rasmi taarifa hizo.

Trump says Venezuela's Maduro captured after strikes​

WASHINGTON, Jan 3 (Reuters) - The U.S. has struck Venezuela and captured its President Nicolas Maduro, who has been taken out of the country, President Donald Trump said on Saturday.

The U.S. has not made such a direct intervention in Latin America since the invasion of Panama in 1989 to depose military leader Manuel Noriega.

"The United States of America has successfully carried out a large scale strike against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro, who has been, along with his wife, captured and flown out of the country," Trump said in a Truth Social post.

There was no immediate confirmation from the Venezuelan government.
The U.S. has accused Maduro of running a "narco-state" and rigging an election. The Venezuelan leader, who succeeded Hugo Chavez to take power in 2013, has said Washington wants to take control of its oil reserves, the largest in the world.

Source: Reuters
Kwanini hakuwauliza WHO ARE YOU?
 
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai Taifa hilo limefanya shambulio kubwa Nchini Venezuela na kuwakamata Rais wake, Nicolas Maduro, na mkewe na kusafirishwa kwa ndege kutoka nchini humo

Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa Truth Social, Trump ameandika: “Marekani imefanikiwa kutekeleza shambulizi mkubwa dhidi ya Venezuela na kiongozi wake, Rais Nicolas Maduro, ambaye pamoja na mkewe, wamekamatwa na kusafirishwa nje ya nchi.

“Operesheni hiyo imefanyika kwa ushirikiano na Utekelezaji wa Sheria ya Marekani. Maelezo zaidi yatafuata. Kutakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari leo saa 5 asubuhi, huko Mar-a-Lago. Asante kwa umakini wenu katika jambo hili” - ameandika Trump.

1767437213715.jpeg
1767437213715.jpeg
 
Yaani huyu mwamba siku wananchi tuliambiwa mtu wenu huyo hapo fanyeni mnalotaka nafikiri vijeba vitamfira yeye, mke wake na watoto wake wote bila mate bila mafuta.

kumbe tumeshafikia huko? kwa maana gadafi ilikuwa hivyo hivyo chuki dhidi yake (gadafi) ilikuwa kubwa kiasi kwamba walipopata mwanya wa revenge walimfanyia hayo uliyoyataja ( too grafic kwangu hata kuyarudia ulioyaandika), hali inatisha sana, duh ...
 
Hao waliomzunguka ni Elite Team ya Makomandoo kutoka tawi la Delta Force (SEAL TEAM) ndani ya US Millitary Army hatari sana hao jombaa
 
Hatuwezi jua inawezekana wapo kazini, mbona miezi kadhaa kabla ya JPM kufariki ilisemekana CIA walikuwa wameshaingia kazini kimya kimya.

CIA huwa wanaingia mzigoni kimya kimya na Hawa huwa wanasimama na wananchi wanaonewa dhidi ya viongozi wao.
Kila ubalozi una CIA personel
 
Back
Top Bottom