Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Samuya 29O mnamuachaje?
Wanyakue na Tz tuwe wamarekani weusiDon't worry be happy. Tunarudi zama za 1880s Kila mwenye nguvu atajinyakulia apatakapo.
Maombi yetu yamejibiwa Venezuela.
Wale jamaa wakisogeza mitambo yao hapo Kenya tu kuna mtu hatoki ndani
Umoja wa Ulaya unaingiaje hapo mkuu, nchi zote hizo mbili hazipo Ulaya.Dah- uvamizi wa kijeshi huo,umoja wa ulaya uko wapi?
Tatizo kule hakuna maslahi.kungekuwa na maslahi ya marekani wangekuwa wameshamdaka mapema tu.Sasa wewe unataka adakwe je marekani watafaidi ulojo?Kw
Kwakweli na wa Tunguu naye adakwe,ameua sana October 29
Afu sisi tunawapa sapotihilo wala siyo lazima, wanaweza kumtuma hata ruto tu akamaliza kazi, hamna hata haja ya kusogeza mitambo ...
Umoja wa ulaya na Amerika haihusiani kabisa.Dah- uvamizi wa kijeshi huo,umoja wa ulaya uko wapi?
Waje bongo waifurumue ccmDon't worry be happy. Tunarudi zama za 1880s Kila mwenye nguvu atajinyakulia apatakapo.
Yale yale ya Noriega! Alitolewa Ikulu! Akafungwa USA....nadhani alisha kufa???Rais Maduro adakwa
View attachment 3524544
US President Donald Trump says the US has carried out "large scale strike against Venezuela" and "captured its leader, President Nicolas Maduro" and his wife.
Here's the statement from Truth Social in full:
"The United States of America has successfully carried out a large scale strike against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro, who has been, along with his wife, captured and flown out of the Country.
"This operation was done in conjunction with U.S. Law Enforcement. Details to follow. There will be a News Conference today at 11 A.M., at Mar-a-Lago. Thank you for your attention to this matter! President DONALD J. TRUMP."
Marekani ametuma Ujumbe mkali sana kwa hawa viongozi wengine duniani 😀Endelea kuandika taarabu hadi vidole vikatike ila usijaribu tena ule unyumbu mliojaribu Oct 29 , kilio chake kitakua kikubwa kuliko mlivyolia.
Waje wamchukue na Kizimkazi na Madelu anayetuita Guys watu wazima kama yeye hata kumzidi umri,Na samuya na wapambe wake ajiandae
Inabidi airudie hiyo na Kwa Tanzania
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake.
Kupitia taarifa aliyotoa kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amesema operesheni hiyo ilifanywa kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya Marekani, huku akieleza kuwa maelezo zaidi yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika saa 11:00 asubuhi kwa saa za Marekani Mashariki, katika makazi yake ya Mar-a-Lago, Florida.
Hata hivyo, Rais Trump hakutoa maelezo ya kina kuhusu jinsi Maduro alivyokamatwa wala amepelekwa wapi, wakati serikali ya Venezuela bado haijathibitisha rasmi taarifa hizo.
View attachment 3524543
==========Trump says Venezuela's Maduro captured after strikes
WASHINGTON, Jan 3 (Reuters) - The U.S. has struck Venezuela and captured its President Nicolas Maduro, who has been taken out of the country, President Donald Trump said on Saturday.
The U.S. has not made such a direct intervention in Latin America since the invasion of Panama in 1989 to depose military leader Manuel Noriega.
"The United States of America has successfully carried out a large scale strike against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro, who has been, along with his wife, captured and flown out of the country," Trump said in a Truth Social post.
There was no immediate confirmation from the Venezuelan government.
The U.S. has accused Maduro of running a "narco-state" and rigging an election. The Venezuelan leader, who succeeded Hugo Chavez to take power in 2013, has said Washington wants to take control of its oil reserves, the largest in the world.
Source: Reuters
Halafu eti tuna Kitu kinaitwa UN Security Council!!!Rais wa nchi anakamatwa na nchi nyingine!!
Mafwele atawadhibiti.Police wa dunia haoo nawapenda saana popote duniani wanafika! Waje na Tanzania kisha wabebe na uranium yote tumechoka makelele ya mwigulu
Duh!operation kali sana.yaani kumkamata RAIS na mke wake .Hii operation ni ya kiwango cha juu kama ya JWTZ
Michezo ya wakubwa hiyo, unafikiri shinikizo la Trump kwa Ukrane kukubali mpango wa amani ulioandaliwa na Urusi lilikuwa bure...Urusi kapewa Ukrane, USA kaachiwa venezuelaIla Russia sio ya kuiamini kabisa