Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Maduro ni Fala siku zote hizo alikua hajui Kama anawindwa?
 
Kila ubalozi una CIA personel

Siyo CIA personnel tu, Kuna shirika AMBALO ni wing ya CIA linaitwa Peace Corp hata TANZANIA lipo hao wanakujaga kama volunteers na wanakuwa stationed vijijini kabisa huko, ukiona Yale matamko ya US Tanzania Security Alert huwa taarifa wanapenyezewa na hao watu hao, pia wanaotafuta TISS wazoefu wale wenye Siri za ndani wanawapiga dolari za kutosha maana US uchumi mkubwa hawashindwi kuwahonga Hawa TISS Njaa ili kupata taarifa sensitive kuhusu Jumba Jeupe, yaani daily Hawa watu wapo on Air, masaa 24 wanapokea taarifa nyeti Sana kuhusu nchi
 
CIA huwa wanaingia mzigoni kimya kimya na Hawa huwa wanasimama na wananchi wanaonewa dhidi ya viongozi wao.



Mkuu, amka uachane na hizi propaganda. Marekani haijali haki wala sijui udikteta, wao wanajali maslahi yao tu.


Ndio maana waliunga mkono baadhi ya watawala madikteta wa nchi za Latin America wakati wa vita baridi.

Ilimuunga mkono Saddam Hussein katika vita yake na Iran.

Iliusaidia silaha kwa siri utawala wa kina Khomeini wa Iran wakati wa vita yake na Saddam Hussein licha ya kwamba wakati huo huo walikuwa wanamuunga mkono Saddam. Siri ikaja kufichuka, soma Iran-Contra Scandal.

Walimuunga mkono Shah Pahlavi wa Iran na Savak yake.

Iliunga mkono madikteta wa Korea kusini akina Syngman Rhee, Park Chun-Hee na Chun Doo-hwan.


Fulgencio Batista wa Cuba.

Ferdinand Marcos wa Ufilipino.

Mobutu Seseseko wa Zaire.

Akina Somoza wa Nicaragua.

Akina Duvalier wa Haiti.

Wote waliungwa mkono na Marekani.

Hakuna cha demokrasia, haki za binadamu wala sijui uhuru, Marekani wao wanapigania na kuchunga maslahi yao.
 
Mwamba alikuwa Hugo Chavez, huyu Maduro amejamatwaje kiboya namna huyo bila hata upinzani? Kwa unafiki wa watu utakuta wanashangilia kuanguka kwa Serekali ya Maduro. Bila kujua kwamba ndio tayari marekani kashaingia hapo.
 
Mkuu, amka uachane na hizi propaganda. Marekani haijali haki wala sijui udikteta, wao wanajali maslahi yao tu.


Ndio maana waliunga mkono baadhi ya watawala madikteta wa nchi za Latin America wakati wa vita baridi.

Ilimuunga mkono Saddam Hussein katika vita yake na Iran.

Iliusaidia silaha kwa siri utawala wa kina Khomeini wa Iran wakati wa vita yake na Saddam Hussein licha ya kwamba wakati huo huo walikuwa wanamuunga mkono Saddam. Siri ikaja kufichuka, soma Iran-Contra Scandal.

Walimuunga mkono Shah Pahlavi wa Iran na Savak yake.

Iliunga mkono madikteta wa Korea kusini kama Syngman Rhee.




Hakuna cha demokrasia, haki za binadamu wala sijui uhuru, wanapigania maslahi yao.

Sawa. Lakini Marekani Haina rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu
 
Halafu kuna kidampa mmoja anasimama mbele ya dunia na kusema "NYIE NI NANI?" Je, ana akili kweli huyu, anaijua nguvu ya dunia ya kwanza? Yupo alipo kwa bahati mbaya au ni vipi?

Trust me, ukiuliza, who are you? Utajibiwa accordingly!!!
 
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Duh!operation kali sana.yaani kumkamata RAIS na mke wake .Hii operation ni ya kiwango cha juu kama ya JWTZ
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😉😉😉😏😏😏
 
BBC: Rais wa Venezuela akamatwa na jeshi la marekani ndani ya nchi yake kwa mda mchache tu.

Sasa kwenye nchi ya cuba huku kila mtu ni mpenda rushwa akitakiwa kukamatwa na ICC ni dakika chache tu washa mtoa chura kiziwi.


FB_IMG_17674383043207844.jpg
 
Back
Top Bottom