Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
nyie ni Matahira.Kunaboya mmoja Tanzagiza anasema who are you😅😅😅😅
nyie ni Matahira.Kunaboya mmoja Tanzagiza anasema who are you😅😅😅😅
Sawa. Lakini Marekani Haina rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu
Hawawezi, bado maslahi yao hayajaguswaInabidi airudie hiyo na Kwa Tanzania
Mchina akiivamia Taiwan yatamkuta ya Russia na ukraine. Hataweza kuimaliza vita hiyo na uchumi wake utayumba sana, na wachina walivyowengi wataanza kulaana wao kwa wao kwa shida watakayopataRussia hajawahi msaidia mshirika wake hata mmoja mpaka mwisho.
Sio Syria, Armenia, Iran na sasa Venezuela.
Russia huwa anajaribu kidogo baadae anakutelekeza. Ingawa huu uvamizi wa Marekani sikubaliani nao kabisa sasa kesho na China akiamua si anavamia Taiwan au nchi yoyote.
Russia anajiamulia anavamia, Marekani nayo imevamia. China ikianza nayo si dunia itarudi kulekule kwa unanijua mimi ni nani.
Huku kwetu bafo sana, sidhani kama marekani ana maslahi nako kiviile na kama yapo, basi hayajaguswa, wakiguswa tu kinanukaujumbe ufike
Subutu.Kituo kinachofuata ni Ayatollah
umesahau URANI iliyojaa Tanzania na ambayo tumeambiwa wanaitamani!Marekani hawajali kuhusu haki zako au demokrasia yako wewe mmatumbi, wanajali kuhusu maslahi yao, Hata ukiwa dikteta... ukiwapa wanachotaka hawana shida na wewe, Bongo hatuna cha maana cha kufanya tuingie hata kwenye akili ya Trump, angalau Nigeria wana reserve kubwa ya mafuta, DRC wana rare earth minerals.
proven oil reserve, are you a geologist?Venezuela ndio nchi inayoongoza duniani kuwa na 'proven' oil reserve. Na kama unavojua wamarekani wapo kimaslahi yao zaidi.
Nyeti za Bongo mbona rahisi sana kuzipata, kama Mange anazipata kiurahisi sembuse US GovernmentSiyo CIA personnel tu, Kuna shirika AMBALO ni wing ya CIA linaitwa Peace Corp hata TANZANIA lipo hao wanakujaga kama volunteers na wanakuwa stationed vijijini kabisa huko, ukiona Yale matamko ya US Tanzania Security Alert huwa taarifa wanapenyezewa na hao watu hao, pia wanaotafuta TISS wazoefu wale wenye Siri za ndani wanawapiga dolari za kutosha maana US uchumi mkubwa hawashindwi kuwahonga Hawa TISS Njaa ili kupata taarifa sensitive kuhusu Jumba Jeupe, yaani daily Hawa watu wapo on Air, masaa 24 wanapokea taarifa nyeti Sana kuhusu nchi
Huku huyo Marekani na uingereza wana maslahi chini ya hao hao CCM , ndio ukawaona hawajaliNyeti za Bongo mbona rahisi sana kuzipata, kama Mange anazipata kiurahisi sembuse US Government
Toka karudie hata leo ila mama yako asije kugaragara mbele ya camera huku anaomba mwili wako akauzikeNa itajirudia hakika na ikae akilini mwako safari ya pili "miguu chali"
Bora hata wamshobokee Samia na vikosi vyake vya polisi,"gesi na teeth",uongo?Wasubiri comeback sasa
Halafu kuna WaTanzania wanawashobokea hawa wauaji USA