Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

Hakuna uchaguzi hapo,waziri wa mambo ya ndani,ulinzi, makamu wa rais wameshabweka
Tu
Unafurahia ubeberu!..watu wenye low IQ mna shida sana,hapo maana yake ukiwa na rasilimali mabeberu watazifuata,ukikataa kinafuata cha Iraq,Libya, Afghanistan, Venezuela
Maana yake wengine hamtakiwi kuinuka na kuwa na nguvu
raia wa venezuela wamefurahi
Hata sisi tutafurahi
Tuwe kama libya fresh kuliko rasilimali kutwaliwa na viongoz wabinafsi kwa maslahi yao peke yao na familia zao kuliko wananchi.
Potelea mbali
 
Ametangaza marekani wataitawala Venezuela mpaka itakapokaa sawa
Viongozi wengi wana KAMDOMO sana!!!. Nicolaus Maduro wa Venezuela alikuwa dikteta katili!!!!!

Alina watu wake mwenyewe kwa Njaa,
Aliunga mkono Hamas.
Aliunga mkono Hezbollah.
Alishirikiana na utawala wa Iran.
Sasa ni wakati wa yeye kulipa gharama
Acha Venezuela 🇻🇪 itawaliwe kwa muda ili iwe Fundisho kwa watawala Uchwara wengine!!!!
 

Attachments

  • -2150734391035426695.mp4
    4.8 MB
  • -834853965228594341.mp4
    9.5 MB
Wafuga Midevu na Majini hamkosi sababu!!!
20260103_143014.jpg

Kinacho muuma ni hichi 🤣🤣
 
Mmejaza samadi tu vichwani, ndiyo maana heche alitaka wazungu waje watawale kwa muda tufanye uchaguzi, yaani ni wacenge grade 1
Hata samuya atauzwa na watu wake wa KARIBU Kwa sababu sio wote wanakubaliana na ushenzi wake wa kuua raia wake
 
Russia hajawahi msaidia mshirika wake hata mmoja mpaka mwisho.
Sio Syria, Armenia, Iran na sasa Venezuela.

Russia huwa anajaribu kidogo baadae anakutelekeza. Ingawa huu uvamizi wa Marekani sikubaliani nao kabisa sasa kesho na China akiamua si anavamia Taiwan au nchi yoyote.

Russia anajiamulia anavamia, Marekani nayo imevamia. China ikianza nayo si dunia itarudi kulekule kwa unanijua mimi ni nani.
Hao wanajuana they are doing a business I guess Ile safari ya Putin kwenda USA kuonana na trump ni lazima tu palikuwa na makubaliano ya Putin na trump kupeana nafasi ya kuzitawala Ukraine na Venezuela,

Trump kukubali kumuachia Russia aichukue Ukraine na Russia kakubali trump aitawale Venezuela,

Cuz haiwezikani huko nyuma Russia alikuwa anamlinda Maduro tena Kwa ulinzi mzito then now aruhusu avamiwe

Russia it seems ni watu wa maslahi mbele zaidi kama hauna kitu Cha kuwapa ambacho ni most valuable basi Wana kutosha baharini,
 
Ila Trump ni mbinafsi sana mbona sisi hapa anaturuka daily

Au ana maslahi huko!
Maslahi Yao Bado yanalindwa na wame hakikishiwa kuendelea kupewa wanacho kitaka , so wanaanzaje kuitoa mboga mboga madarakani,

Watu wengi wanadhania kwamba siasa ni mchezo 😁😁😁😁

Siasa ni kitu very very sensitive do you think USA watakuwa tayari kuwapa backup mange na lissu eti kisa tu Kuna watu wameuliwa tz halafu wakubali kuharibu maslahi Yao na Mikataba Yao lnayo wanufaisha !?

Aliye wadanganya kuwa USA anajali kuhusu haki za kibianaadmu na za raia ni nani !? Kama angekuwa ana jali Hilo USA wamesha ua watu wangapi till now ??

Msiwe mnasikiliza propaganda siasa ni mchezo unao jali maslahi kwanza zaidi then utu baadae
 
Back
Top Bottom