Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.
Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.
Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.
Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni