JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo