Covid-19 mtajuta kulijua jiji muda ni mwalimu mzuri. Mbeleko ya jpm na wajinga wenzake inakatika soon.Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.
Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.
Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.
Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni
Wanashambuliwa kama mpira konaCovid-19 mtajuta kulijua jiji muda ni mwalimu mzuri. Mbeleko ya jpm na wajinga wenzake inakatika soon.
Nyie ndio manafanya nchi endelee kuliwa na chache huku wengii wakiendelea kuumia...hii kauli wangeisema wakinna Nyerere nadhani haadi leo tungekua tunalima mashamba ya mkonge ya mkoloni.Hawa ni mabingwa wa sayansi ya siasa, wanafahamu wanachokifanya. Itoshe kwetu kutazama.
JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUUCovid-19 mtajuta kulijua jiji muda ni mwalimu mzuri. Mbeleko ya jpm na wajinga wenzake inakatika soon.
Umepanic hadi umetoka nje ya mada 🤣🤣JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
PumbaJPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Hawa tayari ni muda tu....EU Mhimili wa Dunia....Covid-19 mtajuta kulijua jiji muda ni mwalimu mzuri. Mbeleko ya jpm na wajinga wenzake inakatika soon.
Samahani mkuu, nje ya mada, huyu anayejiita Rais wa vijana alichaguliwa kupitia uchaguzi gani wa vijana?Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.
Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.
Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.
Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni
Bado haujaifahamu CCM, hakuna vita hapo.Nyie ndio manafanya nchi endelee kuliwa na chache huku wengii wakiendelea kuumia...hii kauli wangeisema wakinna Nyerere nadhani haadi leo tungekua tunalima mashamba ya mkonge ya mkoloni.
#MaendeleoHayanaChama
Rais wa bodaboda , rais wa bao na rais wa wasafi nchi nzima ushawahi kusikia uchaguzi wao? Changamkia fursa ndugu yangu.Samahani mkuu, nje ya mada, huyu anayejiita Rais wa vijana alichaguliwa kupitia uchaguzi gani wa vijana?
Takataka!JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Mambo ndo yanaanza hivyo milango inaendelea kufunguka, kwani Majaliwa pia hukumsikia? hizo ndio figisu figisu mara pa zanakuja kumpasukia Ndugai usiwe mgeni na siasa za TanzaniaHuyo "Rais wa vijana Tanzania" alichaguliwa na nani?
Afadhali Ndugai anatambulika ni Spika wa bunge la JMT, huyo mbuzi wenu anyamaze kimya, au aongee kama mtanzania wa kawaida, sio kujiweka title zisizo na chanzo.
Wewe unadhani uamuz wa kuwabakisha bungeni wale wanawake wa CHADEMA ulikuwa wake binafsi bila maagizo toka juu? Siku ikiagizwa watolewe Ndugai atawatoa mara moja.Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.