Ivi Covid 19 wanalipwa shs ngapi kwa mwezi??Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.
Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.
Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.
Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni
Kwa hiyo Bunge haliko huru?? KUNA MTU JUU YAKE ANAYELIONGOZA????Wewe unadhani uamuz wa kuwabakisha bungeni wale wanawake wa CHADEMA ulikuwa wake binafsi bila maagizo toka juu? Siku ikiagizwa watolewe Ndugai atawatoa mara moja.
Wale coviid 19 wanatumiwa kama leverage.
Upo Sawa mkuu, hata mimi ni kijana Ila sikuwahi kusikia huo uchaguzi ili nipige Kura!Samahani mkuu, nje ya mada, huyu anayejiita Rais wa vijana alichaguliwa kupitia uchaguzi gani wa vijana?
Hii nchi ina MARAIS wengi 😂😂😂Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.
Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.
Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.
Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni
Waongea taka taka!JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Basi ni ujinga, kama tunaamini kila muhimili unajitegemea kumbe mwingine unaagizwa cha kufanya na kinyume na taratibu nao unakubali, ni ujinga!Wewe unadhani uamuz wa kuwabakisha bungeni wale wanawake wa CHADEMA ulikuwa wake binafsi bila maagizo toka juu? Siku ikiagizwa watolewe Ndugai atawatoa mara moja.
Wale coviid 19 wanatumiwa kama leverage.
Ndugayembe hapati hata wa kumsemea? 😆😆Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.
Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.
Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.
Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni
Wewe muosha viatu hata Mkeo tuu kakushinda kumuonyaNa mimi kama rais wa Marais wote Tanzania namuonya huyo anayejiita rais wa vijana (maana vijana hawana rais) aache mara Moja kumtishia spika wa bunge. Ajue kuwa ndugai hajavunja sheria yoyote ya nchi hii na alitoa maoni yake bila kwenda kinyume na katiba yetu hii japo ni mbovu. Watu wengi makada wa ccm wameona imekuwa fasheni Kila siku kuibuka na tamko la kupinga ndugai tena kwa vitisho eti tu ili rais aone wanampenda lakini nyuma ya pazia wanamendea uteuzi. Ebu tafakarini, je alichosema SSH kingesemwa na ndugai na vice versa unadhani wangesemaje?
Kuna methali inasema: ''If it quacks like a goose, then it's a goose.Kwa hiyo Bunge haliko huru?? KUNA MTU JUU YAKE ANAYELIONGOZA????
Nje ya mada kivipi [emoji849][emoji849]kwani wewe ujui kuwa nilikuwa namjibu mtu au ujui maana ya covid 19 bungeni ?Umepanic hadi umetoka nje ya mada [emoji1787][emoji1787]
unatupigia keleleJPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa
Kujibu kitu kidogo kwa maneno meengiii ni aina ya ushambega.Be specific,short-narrated and to the point!JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Maelezo mengii kumbe hakuna ata unalolijua.unarukia rukia tu maneno.JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Kwahiyo kufa kipumbavu chama cha chadema ni kitu kidogo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kujibu kitu kidogo kwa maneno meengiii ni aina ya ushambega.Be specific,short-narrated and to the point!
Mimi mwenyewe nilikuwa chadema wala sikumpigia kura magufuli 2015 isipokuwa 2020 nimempigia jpm, chadema kimekuwa chama cha majuwa baada ya wazee awalio kianzisha kufa na kubaki wahuni wasio na akili ,chadema kilikuwa chama miaka ya mkapa siyo sasaMaelezo mengii kumbe hakuna ata unalolijua.unarukia rukia tu maneno.
Huyo "Rais wa vijana Tanzania" alichaguliwa na nani?
Afadhali Ndugai anatambulika ni Spika wa bunge la JMT, huyo mbuzi wenu anyamaze kimya, au aongee kama mtanzania wa kawaida, sio kujiweka title zisizo na chanzo.