Pre GE2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.

=====

Screenshot 2024-11-12 100938.png

Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka shilingi 8000 mpaka shilingi 10,000 sisi wanafunzi wa vyuo kwetu ni kiongozi wa manufaa.

Kupata nyuzi za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

"Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kuongeza bajeti maradufu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu kimetosha sisi kama wafaidika namba moja kujiridhisha kwamba anafaa kuwa Rais wetu tena na tena." Tyson Lucas Rais wa DARUSO

Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais wa DARUSO Tyson ameongeza kwamba "Rais anayewekeza kwenye Eeimu ni Rais ambaye hataki kuongoza Raia wajinga bali Raia wenye Elimu wanaoweza kumshauri na kumpa mawazo mbadala.
 
Last edited:
Huyu Rais si ndo mwanachama wa UVCCM au!? Kuna kipindi walijichanganya UDSM wakamchagua Waziri Mkuu mwanachama wa CHASO kudadeki yule jamaa alikuwa ni Mwanasheria 😃 waliona moto 😃 enewei huyu jamaa anajipigia chapuo kwa uongozi wa chuo ili mkate wake uwe mlaini.
 
Mkuu sasa hivi UDSM haichagui Rais tena bali ni uteuzi!
Kabisa.

Ila nchi inazidi kudidimia kwa mambo ya uchawa kulamba watu miguu na kujipendekeza.

Watu hawatumii tena uwezo wao wa kufikiri wakiwa huru.

Profesa wao anapaita jalalani.

Wanafunzi ndio hao wanaongea ujinga ujinga.

Graduates ni mwendo wa kusifu na kugalagala chini.

People are no longer free to think.

What a disgrace!
 
Hamis Hamis Seif ni mwanachama wa UVCCM hakuna ambaye hafahamu hapo chuoni! Ameshakuwa mtu wa mapambio tayari 😃 hiyo bachelor yake ya Philosophy and Ethics sijui imekaaje!?
 
Hata kujiandikisha hawajiandikishagi

Busy na headphones masikioni na kula chips.

Vijana wa hovyo kwa sasa wengi wapo vyuoni kuliko mtaani😀😀😀
acha upotoshaji gentleman,

kwenye uchaguzi huu,
hata chekechea waliofikisha umri wa miaka 18 wamejiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa, wakiongizwa na kaka zao hawa wasomi makini na wenye maono ya mbali sana, wa elimu ya Juu🐒
 
Wakuu,

Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.

=====

Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka shilingi 8000 mpaka shilingi 10,000 sisi wanafunzi wa vyuo kwetu ni kiongozi wa manufaa.

Kupata nyuzi za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

"Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kuongeza bajeti maradufu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu kimetosha sisi kama wafaidika namba moja kujiridhisha kwamba anafaa kuwa Rais wetu tena na tena." Tyson Lucas Rais wa DARUSO

Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais wa DARUSO Tyson ameongeza kwamba "Rais anayewekeza kwenye Eeimu ni Rais ambaye hataki kuongoza Raia wajinga bali Raia wenye Elimu wanaoweza kumshauri na kumpa mawazo mbadala.
hili nalo limewakera sana ambao hawajajiandikisha, right my lady?🤣
 
Watoto kibao wa maskini wanakosa mikopo na hasira zimewajaa kifuani. Waache ccm waendelee kujitekenya
 
Back
Top Bottom