Pre GE2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

Pre GE2025 Rais wa Wanafunzi UDSM: Wanafunzi wa Vyuo tutamchagua Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.

=====


Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka shilingi 8000 mpaka shilingi 10,000 sisi wanafunzi wa vyuo kwetu ni kiongozi wa manufaa.

Kupata nyuzi za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

"Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kuongeza bajeti maradufu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu kimetosha sisi kama wafaidika namba moja kujiridhisha kwamba anafaa kuwa Rais wetu tena na tena." Tyson Lucas Rais wa DARUSO

Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais wa DARUSO Tyson ameongeza kwamba "Rais anayewekeza kwenye Eeimu ni Rais ambaye hataki kuongoza Raia wajinga bali Raia wenye Elimu wanaoweza kumshauri na kumpa mawazo mbadala.
Asipogombea utachagua kitu gani?
 
Hadi leo boom halijaingia halafu unaongea nn sijui
Enzi zetu miaka ya mwanzoni 2000s huyu kepinduliwa zamani sana.
Ukiona mwanachuo anasoma miaka mitatu bila kugoma basi aidha haelewi au ana kariri anachofundishwa, Prof. Chachage S. Chachage, 2000s (RIp)
 
Back
Top Bottom