Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
sema uongo sasa gentleman wadau wakucheke 🐒Si Kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema uongo sasa gentleman wadau wakucheke 🐒Si Kweli
Ukishamaliza kula boom njoo huku mtaani utumie hiyo degree kuteseka mpaka akili zikukae sawaWakuu,
Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.
=====
Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka shilingi 8000 mpaka shilingi 10,000 sisi wanafunzi wa vyuo kwetu ni kiongozi wa manufaa.
Kupata nyuzi za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kuongeza bajeti maradufu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu kimetosha sisi kama wafaidika namba moja kujiridhisha kwamba anafaa kuwa Rais wetu tena na tena." Tyson Lucas Rais wa DARUSO
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Rais wa DARUSO Tyson ameongeza kwamba "Rais anayewekeza kwenye Eeimu ni Rais ambaye hataki kuongoza Raia wajinga bali Raia wenye Elimu wanaoweza kumshauri na kumpa mawazo mbadala.
ChawaWakuu,

KUTOKA MAKTABA:
VIJANA NA MABADILIKO, WAKATI HUU 2024 / 2025 NI SAHIHI KUINGIA KTK NAFASI ZA MAAMUZI IKIWEMO URAIS
Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi, Vijana ni taifa la leo, watoto ndiyo viongozi wa kesho. Kauli za kilaghai kuwa vijana ni kwa ajili ya taifa la kesho siyo sahihi.
Vijana msihofu msuguano na wazee waliopo mamlakani, kusubiri kupewa ni kukubali kuwa tumejumuishwa na watoto chipukizi. Ni wakati wa vijana kuchagiza kwa mbinyo wa hoja kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya vijana.
Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.
Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja kongwe, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k
Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.
Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhisha wananchi kama bandari kuchukuliwa kuwa vituo vya nchi ngeni, matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo zilizokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k
Huko Chile marekani ya kusini nchi iliyo viongozi wa vyama vya wanafunzi wenye kushiriki kikamilifu katika siasa pia maandamano imewezesha kiongozi kijana wa wanafunzi Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.
Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017
Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.
VIJANA NI WAKATI WA KUACHA KUTEGEMEA CHAMA DOLA KONGWE
View attachment 3150172
Picha maktaba : Vijana chawa wa Vyuo vya elimu ya juu Tanzania.
Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.
VIJANA KULE CHILE BARA LA LATINO AMERIKA WAMEWEZA
Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME
time.com › collection › gabriel-boric
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
Wajinga ndio hucheka ukweli.sema uongo sasa gentleman wadau wakucheke 🐒
Jamani huu ni ugonjwa sasa!!Wakuu,
Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.
=====
Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka shilingi 8000 mpaka shilingi 10,000 sisi wanafunzi wa vyuo kwetu ni kiongozi wa manufaa.
Kupata nyuzi za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kuongeza bajeti maradufu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu kimetosha sisi kama wafaidika namba moja kujiridhisha kwamba anafaa kuwa Rais wetu tena na tena." Tyson Lucas Rais wa DARUSO
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Rais wa DARUSO Tyson ameongeza kwamba "Rais anayewekeza kwenye Eeimu ni Rais ambaye hataki kuongoza Raia wajinga bali Raia wenye Elimu wanaoweza kumshauri na kumpa mawazo mbadala.
Hii nchi sijui ina laana gani!.Wakuu,

Mkuu nadhani Kuna ujumbe unataka kusema😀Wanampangia Mungu?
Rais wa watoto wa jalalani, I mean kiranja mkuu!Wakuu,
Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.
=====
Kwa mambo aliyofanya kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu, Ikiwemo kuongeza Fedha ya Boom kutoka shilingi 8000 mpaka shilingi 10,000 sisi wanafunzi wa vyuo kwetu ni kiongozi wa manufaa.
Kupata nyuzi za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kuongeza bajeti maradufu kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu kimetosha sisi kama wafaidika namba moja kujiridhisha kwamba anafaa kuwa Rais wetu tena na tena." Tyson Lucas Rais wa DARUSO
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Rais wa DARUSO Tyson ameongeza kwamba "Rais anayewekeza kwenye Eeimu ni Rais ambaye hataki kuongoza Raia wajinga bali Raia wenye Elimu wanaoweza kumshauri na kumpa mawazo mbadala.
Hakuna Laana yeyote...Hii nchi sijui ina laana gani!.
umekwamia hapo gentleman?Wajinga ndio hucheka ukweli.
Mbona Lucas Mwashambwa anajileñgesha kila siku kwani ni msichana?Angekuwa ni msichana tungesema anajilengesha kwa Abdul wa kizimkazi
Ndo maana doto magari anawatukana kila siku kmmmkHata kujiandikisha hawajiandikishagi
Busy na headphones masikioni na kula chips.
Vijana wa hovyo kwa sasa wengi wapo vyuoni kuliko mtaani😀😀😀
Lucas sio rizikiMbona Lucas Mwashambwa anajileñgesha kila siku kwani ni msichana?
Bado haijaeleweka uzalendo ni nini?umekwamia hapo gentleman?
kijana kaeleza ukweli bayana sana aise. Na huo ndio uzalendo sasa 🐒
Uzalendo ni pamoja na kusema ukweli mtupu gentleman 🐒Bado haijaeleweka uzalendo ni nini?
Kuna Watu Bado Wamepelea Ngazi za juu.
Unaamini kuna uhuru 🤔Sheikh Mohammed said alisema uhuru ulipiganiwa mikoa ya Pwani wakati mikoa ya kaskazini wakipinga uhuru. Hamjafahamu tu?