Rais wa Yanga SC Said, Msemaji Kamwe na wana Yanga SC msiojitambua hii Kauli ya Rais Samia jana Ikulu mliielewa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Nichukue nafasi hii Kuipongeza Klabu ya Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo hata Klabu ya Simba pia ilifika mwaka 1993" alisema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan jana Ikulu alipowaalika wapenda Kula Kula hovyo ( Walafi FC ) Klabu ya Yanga.

Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe na wana Yanga msiojitambua zile Kauli zenu kuwa mwaka 1993 Simba SC haikucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho ( zamani Kombe la Washindi Barani Afrika ) mlizitoa wapi wakati Rais Samia Yeye kajua na kasema huku nyie mkipinga?

MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" nami nawaulizeni Watajwa hapa hivi kuna Mtu Tanzania hii mwenye Taarifa za uhakika kama Rais wa nchi?

Nyie Taarifa kuwa Simba SC haikucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho ( zamani Kombe la Washindi Barani Afrika ) mliitoa wapi mpaka mkawa Mnashadadika vile kwa Kuhemka na Kudemka?

Cc: Dr Matola PhD
 
 
Mkuu si unywe sumu tu kama unaimia sana?
Naona unahangaika sana na Yanga kama nguruwe anayetaka dume!
 
Si.inaeleweka.kuwa huko wenye akili ni wawili tu
 
he who know everything.....
MINOCYCLINE
 
Siamini kama na wewe ni sehemu ya wajinga na wapumbavu.

Mama amesema Simba walifika level za fainali bila kutaja ni kombe gani, mama ni mtu wa mitandao, anawasoma mnavyoweweseka na mafanikio ya Yanga ndio maana akawapooza vile na akawaalika viongozi wenu wa mbumbumbu Fc na Hakuna aliyetowa hudhuru wote mate yalikuwa yanawatoka kwenye mnuso wa Yanga.
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-192423.jpg
    23.4 KB · Views: 3
Sisi tunachojua thimba alicheza Abiola Cup na akapata medali ya bati.
 
Hao utopolo chochote atachosema manara basi huwa wanaamini,jama kawashikia ubongo baadhi ya wana yanga,na iko siku atawaruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…