Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

Siioni Ghana ikijikomboa kutoka katika mdororo wa kiuchumi ingawaje imepata raisi mpya wa chama pinzani.
 
Mkuu Davidson david Tanzania bado sana.Kwa mtizamo wangu hatuna opposition ambao tunaweza kuwaamini kufanya vizuri kuliko chama tawala kwa sasa. Ni hatari mtu kuruka majivu na kuishia kukanyaga mkaa wa moto.​
Mzalendo uchwara. Cha kwanza ni maamuzi ya Raia kuheshimiwa. Haijalishi wanamchagua nani, walichoamua wananchi ndicho kiheshimiwe, hizo nyingine unazoleta hapa ni porojo zA kuhalalisha ujambazi wa ccm.
 
Wamuombe JK upizani asimame jukwaa moja na Lisu ushindi itakuwa asbuhi mapemaa....kama makosa anayo ya kujisahihisha.
JK akifanya hivyo itakuwa kama yule Raisi wa Ghana na Lissu atakuwa Waziri Mkuu.
 
Upinzani wa Tanzania sio wavumilivu, wakitishiwa kidogo wanaenda kuunga juhudi kwa veggies.!
Nilikasirika nilimpigia kura mpuuzi mmoja akashinda halafu akahamia CCM.

Sasa hivi sipangi foleni kupoteza muda wangu wapambane wenyewe, kwanza wao ni ajira yao mxiewwww.!
 
Upinzani imeshindwa serikali Za mitaa wataweza uraisi? Wabongo ni mijoga na ubinafsi umewazidi pamoja na uroho wa mali
Hata hao viongozi nao wabinafsi, wakipata nafasi huwaoni.

Kuna mbunge mmoja wa upinzani yeye alivyopata ikawa funguli mbwa.. wale wanawake waliokuwa wanamkataa ndio muda muafaka wa kuwapelekea moto..!!

Anaona wapiga kura km makenge, akawa baba haambiliki..! Kibarua kilivyoota nyasi akaanza kujipitisha kwa wananchi anatuita mama zake had mabinti wa kuwazaa 😹🤣🤣

Kuna siku alikuja kuomba mchango nilicheka akajua tumesahau 🤣🤣
Hapa kwanza ncheke ninakoelekea naenda kufungua codes…..
 
Wamuombe JK upizani asimame jukwaa moja na Lisu ushindi itakuwa asbuhi mapemaa....kama makosa anayo ya kujisahihisha.

Watu waanze biashara ya unga Kama ile miaka yake ya uongozi?
 
Mkuu Davidson david Tanzania bado sana.Kwa mtizamo wangu hatuna opposition ambao tunaweza kuwaamini kufanya vizuri kuliko chama tawala kwa sasa. Ni hatari mtu kuruka majivu na kuishia kukanyaga mkaa wa moto.​
Sio kweli na wala huna hoja. Watu wanapochoka na utawala wa hovyo kama huu wa ccm basi yeyote yule anayejitokeza kusimama kwenye uchaguzi kuwapinga hupigiwa kura bila kujali haiba yake hata awe zezeta bora tu hao waovu waondoke madarakani. That's all.

Hivyo madai kwamba hamjaona watu kwenye upinzani wanaofaa hayana kabisa msingi na ni upuuzi mtupu au mbona hugombei wewe unayefaa basi tukupe.
 
Back
Top Bottom