Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

Zuma 27number na anasebela vizuri tu, yani michairo yote anaijua, kwa hiyo jela yule hawezi kutubu yani atatandikiwa mpaka kitanda... maswali sitaki
 
Na hapo kesi ya msingi bado.

In life, shits happen!

Leo Imaam, kesho mwanaharamu!

-Kaveli-
 
Zuma Alikuwa na Bifu na Judge Zondo, so Ni Kama Wamemkomoa Hivi Zuma
 
Utawala wa Sheria
Utawala wa Watu
Tii sheria bila Shuruti
Mambo ni mengi Muda ni mchache sana
 
Na Huyo Jaji Zondo Ndio Mwenyekiti Wa Jopo La Majaji Wa Hyo Mahakama Ya Katiba na Toka Mwanzo Zuma alimkataa Zondo Asisikilize Kesi Yake Kutokana na Kuwa Na Interest
 
Ikifika hapo ndo watawala hawataki sikia kuhusu Katiba Mpya
 
Mahakama kuu nchini Africa Kusini, imemhukumu kifungo cha Miezi 15 jela, aliyekuwa rais wa taifa hilo Jacob Zuma, baada ya kupatikana na hatia ya kukosa kuhudhuria vikao vya kamati iliokuwa inachunguza, tuhuma za rushwa dhidi yake.

Chanzo ITV
 
Tunataka katiba itakayosema binadamu wote ni sawa na Watanzania wote ni sawa siyo hii ya Sasa inayoyosema binadamu wote ni sawa na Watanzania wote siyo sawa
 
Ama hakika Mahakama za S.A zipo HURU huku kwetu watu wamejitungia sheria za kuwalinda wakitoka madarakani ili wasishtakiwe.

Mahakama nyingi za Afrika kuna mengi ya kujifunza kutoka Mahakama za South Africa.
 
Jacob Zuma alijihisi yupo E-swati na yeye alikuwa ndio Mswati mwenyewe, Juju a.k.a Julius Malema akala nae sahani moja mpaka jamaa akastep down...
 
Bado mama Samaia. Muda wake unakuja, mwache aendelee kuikqnyaga katiba kwa kukataza mikutano ya siasa eti anajenga uchumi. Uchumi my foot!!
 
Back
Top Bottom