Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Haijalishi.Muda huo huo anatembea na ulinzi wake na chumba chake full AC chakula anakula anachotaka hahaha
Huyo sio rais mstaafu bali ni rais wa zamani.Raisi mstaafu aenda jela...
Tunataka katiba mpya ambayo italinda wananchi wote bila upendeleo na si ya viongozi kujiwekea kinga!Kimbe South Africa kinga hakuna kila kiongozi anapamba na hali yake
Katiba mpyaaBado mama Samaia. Muda wake unakuja, mwache aendelee kuikqnyaga katiba kwa kukataza mikutano ya siasa eti anajenga uchumi. Uchumi my foot!!