LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 288
- 251
Do you think everyone can be responsible for unspeakable corruption acts!?......the answer is real no, every person in Africa is corrupt including you.This reminds me of the curse of corruption in Africa, and its aftermath. Zuma has gone down the path that many avoid. Africans are very corrupt. We need to change Africa by making everybody accountable for the unspeakable corruptions act in the continent. From public offices to the private ones. The ethics and operational integrity must be instilled.
We can’t allow Zuma to speak in parliament, Julius Malema
Kuna ile clip ya Mbunge mwanamama wa bunge la SA alikuwa anasema “ Zuma is the thief “
He is the greatest thief in the world “
Kwa msisitizo mkubwa, please mwenye nayo Naomba airushe tujikumbushe maana yanaonekana kutaka kutimia [emoji3][emoji3]
Kuna ile clip ya Mbunge mwanamama wa bunge la SA alikuwa anasema “ Zuma is the thief “
He is the greatest thief in the world “
Kwa msisitizo mkubwa, please mwenye nayo Naomba airushe tujikumbushe maana yanaonekana kutaka kutimia [emoji3][emoji3]
Zondo ni jaji makini na SA wanamtambua na Zuma anamjua kuwa huyo jamaa kuruka vihunzi kwake ni ngumu na sio mla rushwa...Na Huyo Jaji Zondo Ndio Mwenyekiti Wa Jopo La Majaji Wa Hyo Mahakama Ya Katiba na Toka Mwanzo Zuma alimkataa Zondo Asisikilize Kesi Yake Kutokana na Kuwa Na Interest
Unajua kwa nini alikua anamkwepa Zondo na je ulifatilia kusikia wale wengine walivyotoa ushuhuda wa nani achaguliwe nani asichaguliwe kuwa Waziri na uhusiano wa Gupta family kwenye serikali ya Zuma...Asa unabisha Nn? Wakati Hii Kesi Inaanza Zuma Alipeleka P.O HC akiomba Jaji Zondo ajiondoe kwasaba Jaji Zondo akiwa Wakili Kabla hajawa Judge Aliwahi Kuwa Wakili Wa Complainant mmojawapo Ila Zondo akagoma kujiondoa
Mzushi kweli sio kidogo...Acha uzushi