Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

Pole sana tena sio mwakani ila mwaka huu mwezi wa 8 ndiyo kuna uo mkutano South anahost! yani Albashir tu alikuwa na warrant na akaenda South akarudi kwao kama kawaida sembuse Vladimir?
subir uone
 

NChi yake ikipitisha sheria kuwa nchi itakayomkamata Rais wake kwa ajili ya kumleleka ICC itakuwa ni kitendo cha kivita au tangazo la kivita na litajibiwa haraka sana,je ni nchi gani itaweza kumkamata Putin? Taja angalau tatu.
Mkuu mapinduzi yanaweza kutokea russia putin akaekwa chini ya ulinzi, warusi wengi hawafurahishwi na putin angalia maandamano yalivyokuwa kumpinga kuishambulia Ukraine na zaid ya watu 1000 kawaseka ndani, putin anaweza kukamatwa hata na ruwanda achilia mbali hayo mataifa makubwa, warusi wanataka nchi yao waishi kwa amani waondokane na udikteta uliokubuhu wa putin
 
Ni muda mrefu sana marais wa nchi kama Russia na China wameacha kabisa kuja NY kuhutubia UNGA.

Sisi Africans ndio tunaenda kwa sababu za Per Diem na kwenda kuomba omba misaada.
Na kushangaa shangaa Majengo, ma x pozhya , shopping shopping si unajua mwenyewe
 
Anailinganisha urusi na rwanda sijui liberia
 
Wameshamfungia ndani ya pipa hana uwezo wa kutembea kwa uhuru duniani tena, ataenda Iran, China, N. Korea, nk. Ameshafungwa miguu tayari.
Aende huko kwingine kutembea ili agundue kitu gani ambacho hana pale Russia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…