Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bush vipi, Blair je?Mbona jibu unalo. Wakati mwingine huenda asikabidhiwe ICC, LAKINI akanyooshwa na mahakama za nchini mwake, iwe kwa shinikizo la west ama vinginevyo. Kwani dikteta Sadam alinyongwa na mwamerika? Cha muhimu ni kukomesha madikteta kama haya yakina Putin yanayomwaga damu zisizo na hatia.
haya mambo yapo juu ya upeo wako , kwa akili yako fupi unahis kuna jeshi litaenda kumtoa , wenzo wamefungua milango kwa wapinzan kumtoa Putin , yaan wapo pamoja na yeyote anaetaka kumchallenge Putin nchini Urusi yaaan wanamwongezew mgogoro mwingine nchini mwakehii nchi yetu ina wagonjwa wa akili wengi sana,
yani kuna mpuuzi anaamini kabisa eti Putin atapelekwa ICC, ni kiwango cha juu sana cha ukichaa kuamini suala hilo,
subir uonePutin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
Kutokuwa mwanachama haiizui ICC kutotoa haki ya kuwakamata wahalifu inaowataka kwenye hizo nchi........ isipokuwa tu kesi zao haziwezi kuendesha bila ya watuhumiwa kuwepo kizimbani.Six Countries That Aren’t Part of the International Criminal Court
There are plenty of countries that have refused to join the International Criminal Court. You may be surprised which countries are not ICC members.nomadcapitalist.com
Russia tokea 2016 alishajitoa sio mwanachama wa ICC, hata Ukraine na Marekani sio wanachama wa ICC, hivyo ICC haina power ya kuwashtaki au kuwafanya chochote.
umeandika upumbav mwng badala ya kualaumu Uporaji wa Crimea 2014 ukraine alikaa kimya kuepuka vita ila Urusi hakuridhika bado akaivamia Ukraine nzima bado kwa uzuz wako unaualumu upande uliovamiwaHakuna nchi ambayo itapenda kujiingiza kwenye mgogoro wa kivita na Russia kwa Intereste za US ndugu yangu, ata US wenyewe hataki hii kiu kianzie kwao, wao mdiyo maana waakuchonganisha nayeye then wanawaagalia kwa kuwapa support!
Rais wa Serbia ameweka wazi kuwa muolekeo wanaoendanao nchi za Kimagharibi sio mzuri utakuja kuleta vita kubwa kuwah kutokea.
Mwisho kabisa nakuambia kuwa ata Marekani wenyewe 2002 Bush alisain sheria ambayo inampa mamlaka Rais kutuma kikosi cha jeshi kwenda kumuokoa Raia wake yeyote ambae ameshtakiwa katika Mahakama ya ICC. Sheria inaitwa "The Hague Invasion Act", na kama hiyo haitoshi mwaka 2020 ICC ilitaka kuifanyia uchunguzu US kwa uhalifu wa kivita Afriganstan maana Afriganstan ni mwanachama wa ICC ila marekani waliwatishia majaji kuwa itawafungia Visa zao za kuingia US au kuwakamata kabisa.View attachment 2556814
puta madreUnangelea kwenye shit hole lako au mdomoni?
Waanze kushtakiwa Bush na Tony BlairICC inashughulika na mhalifu individuallly sio nchi
Nchi iwe mwanachama au la wao humtaka mhalifu wao afikishwe the Hague
Sababu kule haishitakiwi nchi ni mhalifu individual
Putin anatakiwa kama individual sio Russia inatakiwa The Hague
Elimu duni na mbovu ndiyo mzizi wa hayo majingahii nchi yetu ina wagonjwa wa akili wengi sana,
yani kuna mpuuzi anaamini kabisa eti Putin atapelekwa ICC, ni kiwango cha juu sana cha ukichaa kuamini suala hilo,
[emoji38][emoji38][emoji38]labda Putini ila si PutinMkuu,mtu awe mwanachama au sio kushtakiwa kupo pale pale kinachomlinda kutokuwa mwanachama ni kutowajibika kumkamata,lakini akithubutu kukanyaga nchi 123 wanachama wa ICC anatakiwa kukamatwa mara moja
Akae kwa kutuliaHuyo raisi choko wa ICC hana la kumfanya Putin.
Pussyputa madre
Putin atue NY ku-address UNGA and other global and regional summits zinazomhusu aache kutuma foreign minister kama mbabe kweli!
Atadakwa kama kuku mwenye kideri vinginevyo aendelee kujichimbia chumbani kama mwali huku wababe wa dunia wakipasua anga end to end!
NChi yake ikipitisha sheria kuwa nchi itakayomkamata Rais wake kwa ajili ya kumleleka ICC itakuwa ni kitendo cha kivita au tangazo la kivita na litajibiwa haraka sana,je ni nchi gani itaweza kumkamata Putin? Taja angalau tatu.whether ni mwanachama au sio warrant imetoka sasa ni juu ya majemedari wema wa urusi kumkabidhi huyu mtu ICC ili wajenge nchi yao na uchumi wao urudi, na udikteta uwe ndio mwisho katika utawala wa russia.
Kura za maoni zinasemaje kwani?USSR tayari wamechoshwa na putin wanaweza kumpeleka warudi wajenge nchi yao waondokane na udikteta
Leo putin yupo Ukraine mauripol waende wakamkamateWaanze kumkamata obama, bush, tonny blair bila kumsahau yule rais wa ufaransa aliyepita.
Hujawahi ata kumsikia Angela Merker? akiwalaumu wenzake wa Magharibi kwa kutozingatia matakwa ya Russia na kujiona wao wana haki na Russia hawana haki? Hujasikia Zelesky mwenyewe akisema alisaini tu Misk Agrement kwa zuga lakini hakuwa na mpngo wowote wa kutimiza matakwa ya Russia!Ratiba ya BRICS ilipangwq kabla ya warranty chief! Atatuma foreign minister I tell you.HNahaha 🤣🤣🤣 onn mm nmm mm me mm
umeandika upumbav mwng badala ya kualaumu Uporaji wa Crimea 2014 ukraine alikaa kimya kuepuka vita ila Urusi hakuridhika bado akaivamia Ukraine nzima bado kwa uzuz wako unaualumu upande uliovamiwa