Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

Russia tokea 2016 alishajitoa sio mwanachama wa ICC, hata Ukraine na Marekani sio wanachama wa ICC, hivyo ICC haina power ya kuwashtaki au kuwafanya chochote.
ICC haihusiki na nchi huhusika na mhalifu individually tu wao sio prosecutors wa nchi kwa mandate ya ICC

Nchi awe mwanachama au asiwe it is non of their business

Wao kazi yao ni ku deal na wahalifu wa kivita individually popote walipo duniani iwe nchi wanachama au sio wanachama mradi yupo wanamtaka

Ndio Mandate ya ICC

Putin anatakiwa The Hague as individual no excuse

Mashtaka ni ya Putin as individual sio nchi ya Russia
 
Atakamatwa na Warusi wenyewe kama majenerali wa Sudan walivyokubali kuwapa ICC Omar Al-Bashir baada ya kumchoka.
Sababu ile ile iliyofanya kuundwa kwa NATO ndiyo hiyo hiyo itakuwa kizuizi au njia ya kumkamata putin. Sababu yenyewe ni RUSSIA.

Huwezi sema unamshtaki mtu ambaye nchi inayomlinda kuingia nayo vita vya moja kwa moja haijawezekana. Nani atamkamata sasa? Unless nchi yake imtelekeze, kumkamata kutabaki kuwa kwenye makaratasi.
 
Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.

Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku wanaletwa mahakamani kujibu mashtaka huku akitolea mfano maraisi wa zamani wa Rwanda,Serbia na Liberia.

"Hii haiwezi kuwa hadithi tofauti kwa Putin,kama sio sasa,baadae lazima afike kwa hukumu"ameongeza.

===================

Former international court chief 'confident' Putin will stand trial​

A former president of the International Criminal Court said he is confident Vladimir Putin will be brought to trial.
Dr Chile Eboe-Osuji said in every modern instance when an arrest warrant has been issued, somebody ended up in court.

He pointed to former leaders of Rwanda, Serbia and Liberia who had been served warrants.

"There is no basis for me to think that this will be a different story.

"Yes this will be the most important man to date that an arrest warrant has been served against, but lets see what happens."

He added: "I am confident that sooner or later this [a trial] will happen."

Source: Sky News
Hawana uwezo wa Kumkamata Putin.
 
Putin atue NY ku-address UNGA and other global and regional summits zinazomhusu aache kutuma foreign minister kama mbabe kweli!

Atadakwa kama kuku mwenye kideri vinginevyo aendelee kujichimbia chumbani kama mwali huku wababe wa dunia wakipasua anga end to end!
Huwez address unga mpaka upate mwaliko toka un na us watoe viza

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Putin atue NY ku-address UNGA and other global and regional summits zinazomhusu aache kutuma foreign minister kama mbabe kweli!

Atadakwa kama kuku mwenye kideri vinginevyo aendelee kujichimbia chumbani kama mwali huku wababe wa dunia wakipasua anga end to end!
Putin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
 
whether ni mwanachama au sio warrant imetoka sasa ni juu ya majemedari wema wa urusi kumkabidhi huyu mtu ICC ili wajenge nchi yao na uchumi wao urudi, na udikteta uwe ndio mwisho katika utawala wa russia.
Teh Bashir wa sudan tu hapo mlimshindwa sembuse Putin jamaa akaenda hapo Uganda Museveni akawaambia hao icc waache ushoga bashir hakamatwi na hamna la kumfanya.......... Mrusi kaandaa mkutano mkubwa na nchi za Africa, mashariki ya kati mchina kawavuta waarabu..... Tunapoelekea hata UN itakosa nguvu watu wanakutana wanaoelewana wanakubaliana na maisha yanaenda
 
Russia tokea 2016 alishajitoa sio mwanachama wa ICC, hata Ukraine na Marekani sio wanachama wa ICC, hivyo ICC haina power ya kuwashtaki au kuwafanya chochote.
Mkuu,mtu awe mwanachama au sio kushtakiwa kupo pale pale kinachomlinda kutokuwa mwanachama ni kutowajibika kumkamata,lakini akithubutu kukanyaga nchi 123 wanachama wa ICC anatakiwa kukamatwa mara moja
 
Putin atue NY ku-address UNGA and other global and regional summits zinazomhusu aache kutuma foreign minister kama mbabe kweli!

Atadakwa kama kuku mwenye kideri vinginevyo aendelee kujichimbia chumbani kama mwali huku wababe wa dunia wakipasua anga end to end!
Hakuna nchi ambayo itapenda kujiingiza kwenye mgogoro wa kivita na Russia kwa Intereste za US ndugu yangu, ata US wenyewe hataki hii kiu kianzie kwao, wao mdiyo maana waakuchonganisha nayeye then wanawaagalia kwa kuwapa support!

Rais wa Serbia ameweka wazi kuwa muolekeo wanaoendanao nchi za Kimagharibi sio mzuri utakuja kuleta vita kubwa kuwah kutokea.

Mwisho kabisa nakuambia kuwa ata Marekani wenyewe 2002 Bush alisain sheria ambayo inampa mamlaka Rais kutuma kikosi cha jeshi kwenda kumuokoa Raia wake yeyote ambae ameshtakiwa katika Mahakama ya ICC. Sheria inaitwa "The Hague Invasion Act", na kama hiyo haitoshi mwaka 2020 ICC ilitaka kuifanyia uchunguzu US kwa uhalifu wa kivita Afriganstan maana Afriganstan ni mwanachama wa ICC ila marekani waliwatishia majaji kuwa itawafungia Visa zao za kuingia US au kuwakamata kabisa.
Screenshot_2023-03-18-20-03-16-38_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.

Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku wanaletwa mahakamani kujibu mashtaka huku akitolea mfano maraisi wa zamani wa Rwanda,Serbia na Liberia.

"Hii haiwezi kuwa hadithi tofauti kwa Putin,kama sio sasa,baadae lazima afike kwa hukumu"ameongeza.

===================

Former international court chief 'confident' Putin will stand trial​

A former president of the International Criminal Court said he is confident Vladimir Putin will be brought to trial.
Dr Chile Eboe-Osuji said in every modern instance when an arrest warrant has been issued, somebody ended up in court.

He pointed to former leaders of Rwanda, Serbia and Liberia who had been served warrants.

"There is no basis for me to think that this will be a different story.

"Yes this will be the most important man to date that an arrest warrant has been served against, but lets see what happens."

He added: "I am confident that sooner or later this [a trial] will happen."

Source: Sky News
Dmitry Medvedev concluded it!
 
Putin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
Ratiba ya BRICS ilipangwq kabla ya warranty chief! Atatuma foreign minister I tell you.
 
Mbona jibu unalo. Wakati mwingine huenda asikabidhiwe ICC, LAKINI akanyooshwa na mahakama za nchini mwake, iwe kwa shinikizo la west ama vinginevyo. Kwani dikteta Sadam alinyongwa na mwamerika? Cha muhimu ni kukomesha madikteta kama haya yakina Putin yanayomwaga damu zisizo na hatia.
Kwa maana Putin wamuingizie mamluki labda. Which is a very tough task.
 
Hakuna nchi ambayo itapenda kujiingiza kwenye mgogoro wa kivita na Russia kwa Intereste za US ndugu yangu, ata US wenyewe hataki hii kiu kianzie kwao, wao mdiyo maana waakuchonganisha nayeye then wanawaagalia kwa kuwapa support!

Rais wa Serbia ameweka wazi kuwa muolekeo wanaoendanao nchi za Kimagharibi sio mzuri utakuja kuleta vita kubwa kuwah kutokea.

Mwisho kabisa nakuambia kuwa ata Marekani wenyewe 2002 Bush alisain sheria ambayo inampa mamlaka Rais kutuma kikosi cha jeshi kwenda kumuokoa Raia wake yeyote ambae ameshtakiwa katika Mahakama ya ICC. Sheria inaitwa "The Hague Invasion Act", na kama hiyo haitoshi mwaka 2020 ICC ilitaka kuifanyia uchunguzu US kwa uhalifu wa kivita Afriganstan maana Afriganstan ni mwanachama wa ICC ila marekani waliwatishia majaji kuwa itawafungia Visa zao za kuingia US au kuwakamata kabisa.View attachment 2556814
Hahahaha halafu huyu mtu ndiye ambaye anataka Putin ashikwe wakati yeye alitishia majaji wote wanaojipendekeza kuandika hilo shauri la mashtaka.
 
Putin huyuhuyu ambae mwakani kuna ratiba ya kufika South Africa hapo ambapo South anahost mkutano wa BRICS na Putin atakuwepo?
Waache wajidanganye tu 🤣🤣🤣 kwamba kuna wa kumkamata Putin
 
Ni Mjinga, NATO wameua watu Syria, Libya, Iraq , Yugoslavia,

Waliwah kuwafikisha ICC?.

Mahakama hiyo Toka ianzishwe mwaka 2002 yenyewe inahukumj Waafrika tu ambao ndio majinga hayajitambui.
 
Back
Top Bottom