HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwa sasa Putin hamuamini mtu maana tayari wamerahisishiwa njiaNina hakika wakamataji watakuwa ni warusi wenyewe tena watakuwa ni watu wa karibu na Putin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa Putin hamuamini mtu maana tayari wamerahisishiwa njiaNina hakika wakamataji watakuwa ni warusi wenyewe tena watakuwa ni watu wa karibu na Putin.
Mambo huwa yanageuka sana. Rejea kisa cha rais wa Sudan - Khartoom. Albashir jinsi alivyokuwa analindwa ardhini na angani. Leo amesahaulika.Nina hakika wakamataji watakuwa ni warusi wenyewe tena watakuwa ni watu wa karibu na Putin.
Angalia Kwanza mifano aliyotoa. Ukimaliza sema huyu mtu ni mjinga. Tatizo watu wengi humu hata hawajui hiyo ICC inafanyaje kazi. Niambie Inchi ngapi duniani zinaweza kumkamata Rais wa Urusi!Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku wanaletwa mahakamani kujibu mashtaka huku akitolea mfano maraisi wa zamani wa Rwanda,Serbia na Liberia.
"Hii haiwezi kuwa hadithi tofauti kwa Putin,kama sio sasa,baadae lazima afike kwa hukumu"ameongeza.
===================
Former international court chief 'confident' Putin will stand trial
A former president of the International Criminal Court said he is confident Vladimir Putin will be brought to trial.
Dr Chile Eboe-Osuji said in every modern instance when an arrest warrant has been issued, somebody ended up in court.
He pointed to former leaders of Rwanda, Serbia and Liberia who had been served warrants.
"There is no basis for me to think that this will be a different story.
"Yes this will be the most important man to date that an arrest warrant has been served against, but lets see what happens."
He added: "I am confident that sooner or later this [a trial] will happen."
Source: Sky News
Bashiru alikuwa mwamba haswa,lakini leo yupo lupango.Mambo huwa yanageuka sana. Rejea kisa cha rais wa Sudan - Khartoom. Albashir jinsi alivyokuwa analindwa ardhini na angani. Leo amesahaulika.
Yupo ICC !!!??Bashiru alikuwa mwamba haswa,lakini leo yupo lupango.
Amiri jeshi mkuu akapige siasa wakati uko vitani?Putin atue NY ku-address UNGA and other global and regional summits zinazomhusu aache kutuma foreign minister kama mbabe kweli!
Atadakwa kama kuku mwenye kideri vinginevyo aendelee kujichimbia chumbani kama mwali huku wababe wa dunia wakipasua anga end to end!
Fake newsBashiru alikuwa mwamba haswa,lakini leo yupo lupango.
Mkuu tuache muda uongee,lakini kwasasa Putin ni mhalifu anayetafutwa na ICC,ni suala tu muda lazima afikishwe the Hague.Angalia Kwanza mifano aliyotoa. Ukimaliza sema huyu mtu ni mjinga. Tatizo watu wengi humu hata hawajui hiyo ICC inafanyaje kazi. Niambie Inchi ngapi duniani zinaweza kumkamata Rais wa Urusi!
Malipo ya udhalimu wake.Kwa sasa Putin hamuamini mtu maana tayari wamerahisishiwa njia
Hata yeye anapasua anga kule Ukraine kwa makombora mazito ya hypersonic.Putin atue NY ku-address UNGA and other global and regional summits zinazomhusu aache kutuma foreign minister kama mbabe kweli!
Atadakwa kama kuku mwenye kideri vinginevyo aendelee kujichimbia chumbani kama mwali huku wababe wa dunia wakipasua anga end to end!
kwa hiyo unapinga nini?Fake news
Putin ni mmeo nini? Umejuaje hamwamini mtu?Kwa sasa Putin hamuamini mtu maana tayari wamerahisishiwa njia
Waanze kumkamata obama, bush, tonny blair bila kumsahau yule rais wa ufaransa aliyepita.Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku wanaletwa mahakamani kujibu mashtaka huku akitolea mfano maraisi wa zamani wa Rwanda,Serbia na Liberia.
"Hii haiwezi kuwa hadithi tofauti kwa Putin,kama sio sasa,baadae lazima afike kwa hukumu"ameongeza.
===================
Former international court chief 'confident' Putin will stand trial
A former president of the International Criminal Court said he is confident Vladimir Putin will be brought to trial.
Dr Chile Eboe-Osuji said in every modern instance when an arrest warrant has been issued, somebody ended up in court.
He pointed to former leaders of Rwanda, Serbia and Liberia who had been served warrants.
"There is no basis for me to think that this will be a different story.
"Yes this will be the most important man to date that an arrest warrant has been served against, but lets see what happens."
He added: "I am confident that sooner or later this [a trial] will happen."
Source: Sky News
Mashoga mmekuja na habari za kujifurahisha baada ya kuona uwanja wa vita umekuwa mchungu sana kwenu. Mtakaowapata ni wapumbavu tu, welevu wanaishia kucheka tu na kupuuzaRais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku wanaletwa mahakamani kujibu mashtaka huku akitolea mfano maraisi wa zamani wa Rwanda,Serbia na Liberia.
"Hii haiwezi kuwa hadithi tofauti kwa Putin,kama sio sasa,baadae lazima afike kwa hukumu"ameongeza.
===================
Former international court chief 'confident' Putin will stand trial
A former president of the International Criminal Court said he is confident Vladimir Putin will be brought to trial.
Dr Chile Eboe-Osuji said in every modern instance when an arrest warrant has been issued, somebody ended up in court.
He pointed to former leaders of Rwanda, Serbia and Liberia who had been served warrants.
"There is no basis for me to think that this will be a different story.
"Yes this will be the most important man to date that an arrest warrant has been served against, but lets see what happens."
He added: "I am confident that sooner or later this [a trial] will happen."
Source: Sky News
Basi Putin anakuamini wewe tu.Putin ni mmeo nini? Umejuaje hamwamini mtu?
Hata mimi ninaamini ATAFIKA TU TENA HAITACHUKUA MUDA!Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku wanaletwa mahakamani kujibu mashtaka huku akitolea mfano maraisi wa zamani wa Rwanda,Serbia na Liberia.
"Hii haiwezi kuwa hadithi tofauti kwa Putin,kama sio sasa,baadae lazima afike kwa hukumu"ameongeza.
===================
Former international court chief 'confident' Putin will stand trial
A former president of the International Criminal Court said he is confident Vladimir Putin will be brought to trial.
Dr Chile Eboe-Osuji said in every modern instance when an arrest warrant has been issued, somebody ended up in court.
He pointed to former leaders of Rwanda, Serbia and Liberia who had been served warrants.
"There is no basis for me to think that this will be a different story.
"Yes this will be the most important man to date that an arrest warrant has been served against, but lets see what happens."
He added: "I am confident that sooner or later this [a trial] will happen."
Source: Sky News
nomadcapitalist.com
Ngoja tuone raia wema wanaweza kumpeleka
nomadcapitalist.com
Mbona jibu unalo. Wakati mwingine huenda asikabidhiwe ICC, LAKINI akanyooshwa na mahakama za nchini mwake, iwe kwa shinikizo la west ama vinginevyo. Kwani dikteta Sadam alinyongwa na mwamerika? Cha muhimu ni kukomesha madikteta kama haya yakina Putin yanayomwaga damu zisizo na hatia.Yupo ICC !!!??
ICC inashughulika na mhalifu individuallly sio nchiHivi Urusi ni mwanachama wa hii mahakama tofauti na Marekani ambayo hawaiitambui hii mahakama?