Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi.

Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa Kiislamu kutoka ndani. Operesheni hiyo inaripotiwa kumalizika kwa jaribio la kuwaondoa watu waliokuwa hatarini wakati wa vita, lakini hatimaye ilishindwa. Sasa yuko kizuizini cha nyumbani.

Kama ni sahihi, hii ingekuwa mojawapo ya shughuli za kijasusi zenye ujasiri zaidi kuwahi kuripotiwa.

Hapo ndipo utajua Israel ni kiboko kwa ujasusi!!
 

Attachments

  • IMG_20260713_184211_671.jpg
    IMG_20260713_184211_671.jpg
    113.3 KB · Views: 20
Nyie si mlikua mnadanganyana humu kuwa Ahmedinejjad aliapa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia. Na kwamba ni adui namba moja wa Israel.

Cha ajabu Israel hao hao wakaanza kumtaka na mapinduzi yao yaliyofeli yalipanga kumuweka huyu jamaa kama Rais.

Na siku mmedai ameuwawa humu mlishangilia na nyuzi kibao leo aibu mnaona wenyewe.

Hawa Israel hawajali kuhusu dini au gaidi wao wanaangalia maslahi yao tu cha ajabu nyie mashabiki ndio mnajifanya mna uchungu sana na Israel.
 
Shekhe udini u din ume kukaa sana kiasi kwamba ukija jitetea hapa utasema ww n mlokole which is not true we n msimamo mkali Tena wale wavaa kobaz miksa vipedo m nakusalimia tu asalaam alyekum shekhe ubwabwa
Nimewazoea nyie, mkizidiwa hoja mnakimbilia udini so hamnisumbui
 
Nyie si mlikua mnadanganyana humu kuwa Ahmedinejjad aliapa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia. Na kwamba ni adui namba moja wa Israel.
Acha ujinga hata Kiatu cha Baniani nacho ni dawa!! Hata Kama aliapa Kama anafaa kutumika anatumiwa tu!!
Cha ajabu Israel hao hao wakaanza kumtaka na mapinduzi yao yaliyofeli yalipanga kumuweka huyu jamaa kama Rais.
Hakuna Kilichofeli Kama anafaa kutumika atatumika tu No Matter what
Na siku mmedai ameuwawa humu mlishangilia na nyuzi kibao leo aibu mnaona wenyewe.
Hiyo ilikuwa ni mbinu ya kuilinda ili atumiwe vizuri!!
Hawa Israel hawajali kuhusu dini au gaidi wao wanaangalia maslahi yao tu cha ajabu nyie mashabiki ndio mnajifanya mna uchungu sana na Israel.
Kwani Iran ndiye anajali dini? Mbona anapiga sasa Wafuga Midevu na Majini wenzake? Aliyekudanganya kuwa Israel inapigana dini Nani?
 
Back
Top Bottom