Kumbe kapo?Ilitangazwa hivyo ili kumhifadhi!!
Shekhe udini u din ume kukaa sana kiasi kwamba ukija jitetea hapa utasema ww n mlokole which is not true we n msimamo mkali Tena wale wavaa kobaz miksa vipedo m nakusalimia tu asalaam alyekum shekhe ubwabwadini
Nimewazoea nyie, mkizidiwa hoja mnakimbilia udini so hamnisumbuiShekhe udini u din ume kukaa sana kiasi kwamba ukija jitetea hapa utasema ww n mlokole which is not true we n msimamo mkali Tena wale wavaa kobaz miksa vipedo m nakusalimia tu asalaam alyekum shekhe ubwabwa
Acha ujinga hata Kiatu cha Baniani nacho ni dawa!! Hata Kama aliapa Kama anafaa kutumika anatumiwa tu!!Nyie si mlikua mnadanganyana humu kuwa Ahmedinejjad aliapa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia. Na kwamba ni adui namba moja wa Israel.
Hakuna Kilichofeli Kama anafaa kutumika atatumika tu No Matter whatCha ajabu Israel hao hao wakaanza kumtaka na mapinduzi yao yaliyofeli yalipanga kumuweka huyu jamaa kama Rais.
Hiyo ilikuwa ni mbinu ya kuilinda ili atumiwe vizuri!!Na siku mmedai ameuwawa humu mlishangilia na nyuzi kibao leo aibu mnaona wenyewe.
Kwani Iran ndiye anajali dini? Mbona anapiga sasa Wafuga Midevu na Majini wenzake? Aliyekudanganya kuwa Israel inapigana dini Nani?Hawa Israel hawajali kuhusu dini au gaidi wao wanaangalia maslahi yao tu cha ajabu nyie mashabiki ndio mnajifanya mna uchungu sana na Israel.