Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Huyu ndio kiongozi anayejitambua
👇
Screenshot_20220919-180151.jpg

With my wife Mutinta, we’ve arrived in New York for 77th Session of #UNGA   . While here, we will illustrate how #Zambia is determined to be an economic centre whose central focus is creating meaningful jobs & business opportunities for all.
Thanks for your continued support.
20220919_201007.jpg
20220919_201009.jpg
20220919_201011.jpg
 
Beckham alipanga foleni masaa 12 ili kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Queen Elizabeth kuonesha kuwa kwa wenzetu hakuna special treatment kwenye misiba..! Marais wote kasoro Biden na Waziri mkuu wa Israel wamepanda mabasi km ilivyo ada unapopokea ugeni wa wakuu wa nchi wengi kwa wakati mmoja. Sasa wewe kwa upuuzi wako ulitaka Marais wapewe treatment gani?
 
Mc wa msiba alichanganya mafaili usafiri wa basi lilikuwa la wana kwaya wa Edinburg yeye akawaambia viongozi wetu wapande basi[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hebu tuonyeshe huko amepokelewaje nasikia hata Red carpet hakuna kama hamali wa forodhani.
 
Beckham alipanga foleni masaa 12 ili kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Queen Elizabeth kuonesha kuwa kwa wenzetu hakuna special treatment kwenye misiba..! Marais wote kasoro Biden na Waziri mkuu wa Israel wamepanda mabasi km ilivyo ada unapopokea ugeni wa wakuu wa nchi wengi kwa wakati mmoja. Sasa wewe kwa upuuzi wako ulitaka Marais wapewe treatment gani?

Wapewe zile treatment wanazopewa wakiwa hapa. Hapa huwa tunawaona wakiwa na maVX, ving'ora kibao, mabunduki kama yote.
 
Back
Top Bottom