Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Toka zako hapa mpuuzi mkubwaWabongo A K A complainer
Ndio majibu ya kuwapa siku hiziToka zako hapa mpuuzi mkubwa
Huyu ndio kiongozi anayejitambua
👇View attachment 2361780
Ishu sio basi dogo. Ishu ni treatment waliyopokea huko Uk.Kupandishwa usafiri wa bus lenye viwango ili kuwahi kufikishwa muendako, na kuepusha msongamano barabarani sio kudhalilishwa.
Wow Zambia wanajielewa. Huko UK Rose Migiro angetuwakilisha inatosha.
Bwa mdogo bado una maumivu ya 2020?Hamna acha hao hao walioenda wakavuliwe umaarufu fake. Majizi ya kura wazungu wamejua cha kuwaonyesha.
Bwa mdogo bado una maumivu ya 2020?
Beckham alipanga foleni masaa 12 ili kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Queen Elizabeth kuonesha kuwa kwa wenzetu hakuna special treatment kwenye misiba..! Marais wote kasoro Biden na Waziri mkuu wa Israel wamepanda mabasi km ilivyo ada unapopokea ugeni wa wakuu wa nchi wengi kwa wakati mmoja. Sasa wewe kwa upuuzi wako ulitaka Marais wapewe treatment gani?
Kama wa kwetu kule Dodoma siku ya MwendazakeMc wa msiba alichanganya mafaili usafiri wa basi lilikuwa la wana kwaya wa Edinburg yeye akawaambia viongozi wetu wapande basi