fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Meli za zanzibar bro zimezeeka mno na hawana fedha za kuzikarabatiHussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Meli za zanzibar bro zimezeeka mno na hawana fedha za kuzikarabati
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
π― ... = NO MAN'S WEALTH!Ajira za kubebana ndugu, rushwa, kujuana ,vimada nk.
Watauziana wenyewe meli moja laki tatu.Ma-CCM ni failure kwenye kila kitu.
Watauza halafu wakinunua watarudi tena kulele maana hakuna mipango wala kujipanga bali wanasiasa ndio wanaamua kila kitu huku wataalamu wakibaki kuwa watekelezaji.
Na kwenye huu ununuzi, kunaweza pia kukawa na agenda ya upigaji.
Sina imani naa hawa watu.
Kwani Meli ni Ndege ?Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
BAK huo uamuzi unaweza kuwa na manufaa iwapo tu waliosababisha hizo meli za zamani kufikia hatua hiyo hawatahusika tena kwenye kuendesha hizo mpya. Na zaidi njia za uendeshaji wa biashara wa meli za zamani usirudiwe tena, yaani waanze na watendaji wapya wenye kutumia njia tofauti na upimaji wa matokeo uwe wazi na ufanywe kila mwaka. Vinginevyo hata hizo mpya zitaishia kuwa kama hizo za zamani. Kwa kifupi tatizo liko kwa watendaji na njia za utendaji na siyo meli. Kingine: mara nyingi kumekuwa na visingizio kuwa eti serikali haiwezi kufanya biashara na ikifanya lazima ifeli. Hii ni dhana ya uongo kwa sababu kuna nchi ambazo serikali inafanya biashara na biashara hizo zinakuwa na maendeleo mazuri tu. Waende nchi za Scandinavia wakajifunze.Haina wataalamu wa mambo ya biashara na ujuaji ambao hauhusiani na biashara mwingi sana.
Hata kwa kanuni simpo ya Pythagoras haiingii kichwani. Ninanusa watu wanafanya biashara nyuma ya pazia na wanataka biashara zao zisitawi. Serikali inakosa meli hata moja? Na mnajiita serikali? Bora hako kazanzibar kawe moja ya mikoa ya TZ baraMeli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??
Does it stick in mind?
Upigaji, hakuna mtu mwenye uchungu.Hivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Unaposema uanze upya maana yake uunde authority upya bodi na menejimenti kwa ujumla kisha uingie mfukoni tena kununua meli halafu usubiri tena miaka kadhaa ya kuanza kutemgeneza faida hizo akili za pwagu au za mwenzake pwaguzi?Naunga mkono!
UjuajiHivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Biashara ya serikali sio yako binafsi ,Serikalini kumejaa incompetent people ambao hupewa Kazi kwa kujuana na sio uwezo unlike private sector.Hivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Wazee wakupinga kila kitu!! Kwaiyo mnataka haziache zijiendeshe kwa hasaraMeli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??
Does it stick in mind?