fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Meli za zanzibar bro zimezeeka mno na hawana fedha za kuzikarabatiHussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app