"In early 1970s, this piece land of Tanzania Mainland was ceded to Tanzania Isles, meaning Tanzania Mainland gave up of legal ownership, and surrender its power of being counted as part of its territory.
Kutokana na mazingira yaliyokuwepo wakati huo "cession" ilifanyika kupitia tamko la Rais, kama vile ilivyotokea kwa ridhaa ya suala la muungano kwa upande wa Zanzibar. Tamko la Rais Nyerere lilitumika kuhalalisha umiliki wa pande hili la ardhi huko Bagamoyo kwa Zanzibar. Tamko la Nyerere halikuwa la makabidhiano ya muda katika matumizi ya ardhi hii, bali ilikuwa ni kubadili umiliki kisheria kutoka Tanzania Bara kwenda Tanzania Visiwani.