Rais wangu Magufuli, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?

..nashauri asipokee mshahara wa mwezi huu.

..hakutimiza wajibu wake hivyo hastahili kupokea mshahara wa mwezi aprili.
Sio mshahara tuu bali afanye kama alivyofanya Mama Tibaijuka, aseme wazi nimeona sitoshi hivyo Octoba andaeni mwingine sirudi tena ofisini. Atapunguza sana hekaheka ingawa hata akisema anagombea hapati labda atumie mbinu chafu.
Alichofanya kukimbia na kutoa kauli ya kuhadaa ni sawa na jenerali vitani anayeona askari wake wanataka kunywa maji ya kisima chenye sumu yeye asiwashtue Bali aondoke akajifiche.
Niko na mkereketwa mmoja wa ccm damu hapa ananiambia kama ccm watamsimamisha tena kura yake bora ampe yeyote hata kama hana sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..hata mimi namshangaa kwanini amekuwa na tabia ya kutokuwa mstari wa mbele wakati wa maafa na misiba ya kitaifa.
 
Hili ni shairi hadthi ngonjera au? Kama kulia wee lia tu usisahau kufanya kazi raisi hawezi kugawana mshahara wake na wewe! Corona ipo nawa mikono kwa sabuni na maji yanayo tiririka usisaha kuvaa barakoa popote uendapo.
Kule China, ulaya na marekani kulikuwa uhaba wa sabuni, maji tiririka na barakoa ndo maana Corona ikawavuruga hivyo???
 
Kule China, ulaya na marekani kulikuwa uhaba wa sabuni, maji tiririka na barakoa ndo maana Corona ikawavuruga hivyo???
Kule China ulaya na marekani hawana maraisi ndio Mana wapinzani wakule hawalalamiki au kuwatukana viongozi wao kwanini hawana akili???
 
..hata mimi namshangaa kwanini amekuwa na tabia ya kutokuwa mstari wa mbele wakati wa maafa na misiba ya kitaifa.
Mfumo WA nchi haumfanyi Rais kuwajibika kwanza kwa umma licha ya kuwa yeye ndiye mwenye serikali na aliyechaguliwa kuiongoza.

Hutamuona rais Yuko tayar hata CDF asimame pale lkn yeye Yuki ndani na anajua anashinda na hata hasiposhinda antaendelea kuwepo.

Lieni lieni tu lieni kwa Nguvu kwa sababu ninyi ni wapumbavu na si wajinga laiti mngekuwa wajinga mngejifunza kuisimamisha Nguvu ya umma kimfumo.

Wangapi wamelalamika Tz nzima?

Mmepata majibu anuai?

Msipopata hamjui mwende wapi?

Bunge lipo na mahakama IPO je, mmewahi kuwashinikiza ninyi msikilizwe?
Ninyi ni wapumbavu.

Yupo nyumbani kwake ghrofa mbili pale chato kwa gharama ya umma na walinzi kibao. Sasa ndiyo anawaza kuondoka hivyo karibuni mtamsikia ikulu kati ya Dom au Dar kama anahitaji kushinda viti vingi bungeni.

Acheni upumbavu na kuweni wajinga kisha anzen kujifunza Leo na kufundisha wengine wafanye vizuri kwenye polling stations October ili mfahulu ujinga na kuwa werevu.
 

..lugha yako ni mbaya, ya matusi, na dharau.

..hata hivyo HOJA zako ni NZITO na zinahitaji TAFAKURI.

..mfumo wetu umempa madaraka makubwa sana Raisi.

..pia tuna Raisi anayependa mno madaraka makubwa zaidi ya haya aliyopewa na katiba.

..kitu cha ajabu ni kuwa mtu huyu hataki kuwa mstari wa mbele wananchi wanapopatwa na maafa au misiba.

..pia sina uhakika kama wanaotaka mabadiliko ya katiba au mfumo wanatamani kumuondolea Raisi jukumu lake la kuwa Amiri Jeshi Mkuu, na mfariji mkuu[ comforter in chief ]wa nchi pake panapokuwa na majanga.
 
Cc
Donald Trump, Jair Bolsonaro and Alexander Lukashenko
 
Taratibu naanza kutafakari maaneno ya Kingunge (RIP).
 
Huyu urais aliudandia, sasa kila mmoja anona kuwa sio size yake
 
Mkuu, you have nailed it. Fact by fact, truth by truth in each of your statement.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pointless
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni na huyo jamaa... Ataibuka aongee madudu na kuibua mabalaa mengine...!!
All is well without him!!
 

Ulitegemea ngosha awe Mkombozi wako! You are joking
 
Unaongea haya halafu jpili unaenda kwenye mkusanyiko kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…