barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Lini ulikua na imani na rais wewe? Acha unafiki.Rais wangu salamu kwako.
Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini ulikua na imani na rais wewe? Acha unafiki.Rais wangu salamu kwako.
Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako.
Simply the best posting I have read thus far!..lugha yako ni mbaya, ya matusi, na dharau.
..hata hivyo HOJA zako ni NZITO na zinahitaji TAFAKURI.
..mfumo wetu umempa madaraka makubwa sana Raisi.
..pia tuna Raisi anayependa mno madaraka makubwa zaidi ya haya aliyopewa na katiba.
..kitu cha ajabu ni kuwa mtu huyu hataki kuwa mstari wa mbele wananchi wanapopatwa na maafa au misiba.
..pia sina uhakika kama wanaotaka mabadiliko ya katiba au mfumo wanatamani kumuondolea Raisi jukumu lake la kuwa Amiri Jeshi Mkuu, na mfariji mkuu[ comforter in chief ]wa nchi pake panapokuwa na majanga.
Wakati huo, wenzetu hapo majirani Kenya walikuwa na takribani bilioni 9; lakini walikuwa hawajigambi kutafuta sifa.