Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Hii ni aibu Kumtukuza binadamu badala ya MUNGU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna makundi mawili, wale waliokuja Duniani kulinda Dunia na wale waliokuja Duniani kutalii.
Waliokuja kutalii hawana wasi wasi maana kwao, kuishi ni Kristo na kufa ni faida.. Wale walinzi wamejawa na hofu kuu iwapo 'wataamriwa kuondoka' Duniani itakuwajee?
Tusitishane!
Kwa maana maandiko yanasema, mwenye haki wangu, ataishi kwa imani.
Watu tume survive ugonjwa wa ndui, Rift valley fever, swine flu etc na hili la Corona tuta survive tu kwa msaada wa Bwana!
Labda masharti ya sangoma! Inashangaza sana na janga lote hili mtu katulia tu huko bushi!..hata mimi namshangaa kwanini amekuwa na tabia ya kutokuwa mstari wa mbele wakati wa maafa na misiba ya kitaifa.
Kweli kabisa nchi inapata aibu kila anapoongeaAchaneni na huyo jamaa... Ataibuka aongee madudu na kuibua mabalaa mengine...!!
All is well without him!!
Msikilize Waziri Ummy hapa halafu uniambie kuna nini umegundua. Je, kajisahau tu?
Mama Samia Hassan hajulikani yupo wapi
Swala la Majanga lipo chini ya ofisi ya waziri mkuu kimuu
Mama Samia Hassan hajulikani yupo wapi
nina miaka kama 7 sijafika hiyo sehemuUnaongea haya halafu jpili unaenda kwenye mkusanyiko kanisani
basi angenyamaza asijifanye mjuaji!Nimesoma alichoandika mleta thread kaandika upupu tu,nimesoma comments za baadhi ya wachangiaji,ki ukweli sielewi ni kwanini Watanzania mnajifanga wajuaji kwa vitu msivyovijua,hili janga ni la kidunia huwezi ukamtupia mtu yeyote lawama wa nchi yetu.Mh Rais ana nia njema tu na nchi yetu na kwa hili janga pia tutavuka salama.Mungu huwa hashindwi.Na Mh Rais kaliona hili tayari akaamuru tuombe kama Taifa kwa ujumla.
Nyinyi wa mitandaoni ndiyo mnajifanya wajuaji.Na wengi ni vijana wa Ufipa.basi angenyamaza asijifanye mjuaji!