Rais wangu Magufuli, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?

Mkuu fanya maamuzi magumu jifungie nyumbani wewe na familia yako. Rahisi namna hiyo. Kuna watu wamefanya hivyo, hata wewe unaweza, nchi huru hii.
 
Pumba kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada, Umerudi lini kutoka ukimbizini/uhamishoni !?
 
Msikilize Waziri Ummy hapa halafu uniambie kuna nini umegundua. Je, kajisahau tu?

 
Mama Samia Hassan hajulikani yupo wapi

Ila kweli. Mbona wale tuliokuwa tunawategemea wawe mstari wa mbele wametoweka? Magufuli, Samia, Kabudi? Personal conscious decisions, a government strategy? Security precaution? Are they having a deep soul-searching retreat?
 
Nimesoma alichoandika mleta thread kaandika upupu tu,nimesoma comments za baadhi ya wachangiaji,ki ukweli sielewi ni kwanini Watanzania mnajifanga wajuaji kwa vitu msivyovijua,hili janga ni la kidunia huwezi ukamtupia mtu yeyote lawama wa nchi yetu.Mh Rais ana nia njema tu na nchi yetu na kwa hili janga pia tutavuka salama.Mungu huwa hashindwi.Na Mh Rais kaliona hili tayari akaamuru tuombe kama Taifa kwa ujumla.
 
basi angenyamaza asijifanye mjuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…