technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nchi ipo salama Tundu Lissu anapigwa risasi saa 7 mchana au usalama ni kwa watanzania wapi?
Nchi ipo salama Akwilina anapigwa risasi mchana? Nchi ipo salama Lwejabe.
Azory, Ben Saanane wanatoweka mchana? huu usalama ni kwa wakina nani?
Nchi ipo salama Nape ananyoshewa bastola mchana?
Nchi ipo salama clouds inavamiwa na watu wenye mabunduki na wanatoweka?
Nchi ipo salama watu kama Loma, Ney, Nondo na Mo wanatekwa na kutelekezwa mpaka leo kimya?
Au hawa sio watanzania? kama ni itikadi ya kisiasa vipi kuhusu kuzuiliwa kwa Husein Bashe na Msukuma je waliowazuia walijulikana?
Hivi kweli tuna usalama wa kutosha? au viongozi ndio mko salama?
Rais wangu nijuavyo mimi ulinzi ni kwa wote kila mtu analipa kodi ni haki yake kulindwa.