Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chagu wa malundeHilo tukio ulishudia kwa macho yako?
Anatoa maelezo kama alikuwepo eneo la tukio.Lazima tumuulize.chagu wa malunde
Uccm usikufanye kipofu usiyeweza ona matukio yanayoendelea nchini!
Hivi suala la Tundu Lissu kumiminiwa risasi mwilini mwake,mchana kweupe, nalo linahitaji kila mtu awe ameshuhudia??
Hivi vyombo vya habari vinafanya kazi gani, kama siyo kuhabarisha wananchi??
Ulaya mtu akipigwa risasi kuna asilimia 99.99% kwa wahusika kukamatwa.Kwani kibaka akimkwapua mtu mmoja bag ndio kusema watu wote wameibiwa? Huwezi kudhibiti uhalifu 100%, hata ulaya kuna watu wanapigwa risasi.
Unapanic sana, subiri kampenj zianze, lazima ujinyonge.Mpigie Dci umuulize.
Kwahiyo hiyo sample size ya mtu mmoja ndiyo ina justify kwa watu 50mYeye alilenga nini wakati kuna Mtaz mwenzetu kamiminiwa risasi mchana kweupe kwenye viwanja hivyo vya Bunge alikotamkia leo??