Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Jana nimetengeneza million 45 aisee namshukuru sana raisi Kwa kutofungia hizi kampuni za betting licha ya wajinga Fulani ambao mambo yamekua magumu kwao kwenye hii sekta ya maafisa ubashiri kukushauri ufunge kumbe hii sekta Ina watu wake ambao ni sisi sababu zinatubadilishia maisha sisi watoto wa kimasikini mama kura yetu unayo sisi maafisa ubashiri betting ni biashara rasmi duniani unaupiga mwingi sana mama kazi iendelee na tunalipa Kodi safi kabisaaa