Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mama anaupiga mwingiiHiyo million 45 isipoyeyuka sijui,siyo kwa kampen unayoipigia.Au unatuongopea?
π₯΄Mama anaupiga mwingii
Yaani mwakani kura yetu maafisa ubashiri anayoooπ₯΄
Mama anaupiga mwingii sana sisi maafisa ubashiri tunamshukuruAisee we jamaa mbona nyuzi nyingii π€π€π€π€£π€£
Sema wewe unamshukuru kuna watu ni maafisa ubashiri kama wewe washapigwa hukuuππMama anaupiga mwingii sana sisi maafisa ubashiri tunamshukuru
Hao ni WA huko kwenu ambao hawana akili sisi huku mtaani tunakula sana pesa ya betting hivyo tunamshukuru raisi Kwa kuendelea kutujali maafisa ubashiriSema wewe unamshukuru kuna watu ni maafisa ubashiri kama wewe washapigwa hukuuππ