saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
we ndio unashangaza kuna serikali mbili ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi Zanzibar.Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Wanajitoa ufaham...Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Kuna waziri wa Tanzania bara?Alivyotamka ndio sahihi!
Hakuna waziri wa Tanzania bara. Waziri ni wa jamhuri ya muungano wa TanzaniaUnanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Ngoja nikuulize, Kuna mawaziri wa Tanzania bara?Wanajitoa ufaham...
Hakuna serikali wala waziri wa Tanzania bara. Bali Kuna mawaziri wa jamhuri ya muungano wa TanzaniaTanzania bara/Tanganyika na Tanzania visiwani/ Tanzania Zanzibar
Kuna wizara ambazo sizo za muungano, rudi kwenye vipengele vya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibarwe ndio unashangaza kuna serikali mbili ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi Zanzibar. Hiyo serikali ya Tanzania bara ndiyo ipi, nitajie viongozi wake kuanzia rais wake.
Ni kweli..... Tanganyika imemezwa ndani ya Tanzania na ikapotea mazima.....Hakuna waziri wa Tanzania bara. Waziri ni wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
ha ha ha .Unadhani suala la Bandari limewaacha watu na akili zao?
Hali siyo nzuri na taratibu tutaanza kuona watu wakiitaja Tanganyika.
acha kupotoshaAlivyotamka ndio sahihi!