Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

Mimi Mtanganyika nalia nchi yangu haipo wala haina bendera wala raisi
TTUNA TANZANIA JAMHURI YA MUUNGANO YENYE 🇹🇿 NA RAIS HER EXC DR MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

NA ZANZIBAR YENYE RAIS Hon DR MWINYI JR

SISI WATANGANYIKA NI WADANGANYIKA
 
Maana zipo wizara ni za muungano na zipo ambazo sio za muungano bali ni za Tanzania mainland (Bara) !

Kwa mfano wizara ya mambo ndani ni ya muungano lakini wizara ya Afya sio ya muungano. !! Bandugu Twendeni Polepole !![emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Hakuna serikali ya Tanzania bara, hiyo wizara ya Tanzania bara inatoka wapi?
 
Hilo dongo kwa mburura wetu wanaotanguliza matumbo badala ya akili wacha iwe iwe hadi waitwe chogo na mpemba
 
Hata we umeelewa kilichomaanishwa, ila kwakuwa mko busy na suala lenu lisilo na chembe ya mafanikio ndo mnajitoa ufahamu.
Nimeelewa kwamba kuna mawaziri wa Tanzania bara?
 
Back
Top Bottom