Uchukuzi ni wizara ya Muungano ?Kuna wizara ambazo sizo za muungano, rudi kwenye vipengele vya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
Uchukuzi ni wizara ya Muungano ?Kuna wizara ambazo sizo za muungano, rudi kwenye vipengele vya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
Sawa, twenzetu ikulu tukamtoe basi au?!!Nimeelewa kwamba kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Sawa, twendeni tukamuweke lissu au slaa basiMi naona ameanza kupoteza dira, kwahiyo mawaziri wa JMT ni akina nani?
Na ni yeye anaimba kila siku ila hajui ni ninijamhuri ya muungano wa Tanzania
Kama tuna wizara za tanganyika pia tuna serikali ya tanganyika?Of course under disguise of Tanzania mainland [emoji28][emoji120]
Hapo ndio akili imeishia?Sawa, twenzetu ikulu tukamtoe basi au?!!
Tukamuweke lissu au slaa. Au vp?!!Hapo ndio akili imeishia?
ndiyoUchukuzi ni wizara ya Muungano ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo dongo kwa mburura wetu wanaotanguliza matumbo badala ya akili wacha iwe iwe hadi waitwe chogo na mpemba
Nchi ya Tanganyika ni Mainland (Bara) na nchi ya Zanzibar ni Islands ( Visiwani Unguja & Pemba), baada ya muungano jina la Tanzania likapatikana na nchi ya Tanganyika likapoteza jina lake lakini nchi ya Zanzibar bado linatumika hadi leo. Katika mungano kuna mambo hayahusu muungano wa nchi hizi mbili na kupelekea kuyaainisha kutokana na pande husika, hivyo basi tukitaka kuzungumzia jambo ambalo ni la Bara tunapendelea kusema Tanzania bara na visiwani huwa tunatumia Zanzibar na si Tanzania visiwani kwani tukisema Tanzania visiwani haileti mantiki nzuri kwa kuwa Tanzania bara inayo visiwa vyake (Takriban visiwa 23 vya baharini na ziwani).Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Wengine humu ni mashabiki wa siasa za mitandaoni , kuwaelewesha ni kupoteza muda.Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Budget ya United republic of Tanzania na sio ya Tanzania baraUnanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
jamani ni kuchanganyikiwa tu kidogoLeo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Hapa ilitakiwa iwe "Tanzania mainland and Tanzania islands (Tanzania Bara na Tanzania visiwani i, e Unguja ,& Pemba). Hivi ndivyo tulivyosoma darasani siyo Tanzania mainland na Zanzibar (Tanzania Bara na Zanzibar ( Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar) ndiyo nini.Alivyotamka ndio sahihi!
Kuna mawaziri wasio wa muunganowe ndio unashangaza kuna serikali mbili ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi Zanzibar. Hiyo serikali ya Tanzania bara ndiyo ipi, nitajie viongozi wake kuanzia rais wake.
Tanzania Bara ni Nchi na Zanzibar ni nchi!Hapa ilitakiwa iwe "Tanzania mainland and Tanzania islands (Tanzania Bara na Tanzania visiwani i, e Unguja ,& Pemba). Hivi ndivyo tulivyosoma darasani siyo Tanzania mainland na Zanzibar (Tanzania Bara na Zanzibar ( Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar) ndiyo nini.
Hapa ilitakiwa iwe "Tanzania mainland and Tanzania islands (Tanzania Bara na Tanzania visiwani i, e Unguja ,& Pemba). Hivi ndivyo tulivyosoma darasani siyo Tanzania mainland na Zanzibar (Tanzania Bara na Zanzibar ( Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar) ndiyo nini.
KibaoKuna mawaziri wasio wa muungano