spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Ila kutokea Zanzibar ni ubaguziWanajitoa ufaham...
Hao Wote ni Mawaziri wa Tanganyika ukiondoa Ulinzi, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani!Kuna waziri wa Tanzania bara?
Maana zipo wizara ni za muungano na zipo ambazo sio za muungano bali ni za Tanzania mainland (Bara) !Alivyotamka ndio sahihi!
Wewe ndio umekariri!acha kupotosha
Kwani tuna serikali ya tanganyika?Hao Wote ni Mawaziri wa Tanganyika ukiondoa Ulinzi, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani!
Hakuna serikali ya Tanzania bara, hiyo wizara ya Tanzania bara inatoka wapi?Maana zipo wizara ni za muungano na zipo ambazo sio za muungano bali ni za Tanzania mainland (Bara) !
Kwa mfano wizara ya mambo ndani ni ya muungano lakini wizara ya Afya sio ya muungano. !! Bandugu Twendeni Polepole !![emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Ipo na Mkuu wake ni Waziri wa Tamisemi Angella KairukiKwani tuna serikali ya tanganyika?
Wizara kutokua ya muungano haimaanishi hiyo ni wizara ya tanganyika. Hatuna serikali ya tanganyika, hivyohivyo hatuna wizara ya tanganyikaKuna wizara ambazo sizo za muungano, rudi kwenye vipengele vya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar
Kumbe ni utani, nilijua upo seriousIpo na Mkuu wake ni Waziri wa Tamisemi Angella Kairuki
Mkuu, kwa sasa ni aibu jf kuitwa the home of great thinkers!!! Kumejaa wapumbavu kibaaaaaaaao!Unanishangaza kidogo kama hujui kuwa kuna mawaziri wa Tanzania bara na wa visiwani kwenye baraza la wawakilishi.
Hizo fedha ni za kusupport bajeti ya Tanzania bara.
Kwa hiyo unakubali Kuna wizara za tanganyika?Mkuu, kwa sasa ni aibu jf kuitwa the home of great thinkers!!! Kumejaa wapumbavu kibaaaaaaaao!
Ni mjinga tu anayeamini Tanganyika haipo!Kumbe ni utani, nilijua upo serious
Hata we umeelewa kilichomaanishwa, ila kwakuwa mko busy na suala lenu lisilo na chembe ya mafanikio ndo mnajitoa ufahamu.Kwa hiyo unakubali Kuna wizara za tanganyika?
Ya Tanganyika !!Hakuna serikali ya Tanzania bara, hiyo wizara ya Tanzania bara inatoka wapi?
Kuna serikali ya tanganyika?Ya Tanganyika !!
Nimeelewa kwamba kuna mawaziri wa Tanzania bara?Hata we umeelewa kilichomaanishwa, ila kwakuwa mko busy na suala lenu lisilo na chembe ya mafanikio ndo mnajitoa ufahamu.
Of course under disguise of Tanzania mainland ๐ ๐Kwa hiyo unakubali Kuna wizara za tanganyika?
Ukerewe ni bara?Tanzania bara/Tanganyika na Tanzania visiwani/ Tanzania Zanzibar