Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Hii vita ina mambo mengi ili uweze Kushinda au kushindwa, kuna kuwa na silaha , kuna suala la uchumi wako kuhimili vita ndefu kama ulipanga vita fupi, kuna idadi ya majeruhi au vifoo, na kuna , vita vya maneno, magazeti na kadhalika. Kumbuka ukraine walikuwa tayari Ku saini mkataba wa amani Kwa kutekeleza makubaliano ya miski, uturuki, lakini wakaambiwa na US na UK wasisaini. Pili 2014 ufaransa na ujerumani waliwaambia wakubaliane na Hali kumbe walikuwa wakitafuta muda WA kujipanga na kujenga jeshi lao. Sasa hivi hii vita ni 50/50 aidha ukraine apigwe zaidi na kuishiwa wanajeshi wa kupigana au warusi waone h hawa wezi kuendelea na hizi mbio ndefu na sio fupi kama walivyo tegemea.
 
Yaani commies wameosha akili yako hasa! Hadi 2003 China haikuwa na meaninful industry zote zilikuwa crude. Baada ya kuingia WTO ndiyo ikapaa why? Do research
 
Vyuo vyamarekani kuna kwejye kila coz hakisekani raia wa kichina acha ubishi Mchina aslimia 90% ya bidhaa zake anauza sana U.S.A na ulaya ndo anakopata faida huku afrika anauza takataka
Soma alichoandika huyo halafu fananisha na nilichomjibu.
Pia kuwepo kwa wanafunzi wa Kichina USA hakuondoi kuwa China sasa hivi ndio inaongoza kwa R&D.
 
Hahaahaha hao hao makada wenzie wa Lumumba wakijambishwa diplomatic passport zao na familia zao 2025 wanazusha zengwe na kukata jina pale Dodoma.

Dogo Janja au madelu wanapewa kijiti.
 
Yaani commies wameosha akili yako hasa! Hadi 2003 China haikuwa na meaninful industry zote zilikuwa crude. Baada ya kuingia WTO ndiyo ikapaa why? Do research
Vyote hivyo navijua sina sababu ya kwenda kusoma.
Ila kasome wewe kwanini China anaonekana kuwa mshindani mkubwa duniani wa kibiashara!?
Na kwanini Trump alisisitiza China itolewe kuwa Mid income iwe nchi ya ulimwengu wa kwanza na itolewe kwenye unafuu wa kibiashara kwenye vipengele vya WTO??
Wakati mnaibeza China Italy, France na Germany wanasafiri kuelekea China kuwaomba negotiations za kibiashara.
Unajua kitu kinaitwa BRI??
 
Sawa japo muelekeo unaonesha kuwa Ukraine ana possibility kubwa ya kushindwa.
Kwa sababu raia wenyewe wa Ukraine wanalalamika kuwa jeshi lao linalazimisha raia kujiunga vitani,hadi watu wazima wa miaka 50+ wanakuwa recruited kilazima.
Sasa hapo mkuu unaona Ukraine ikihimili vita kweli?
 
Tanzania sio Nchi ya wajinga wewe,hao Kina Sadam walikuwa na interest za kimaslahi.

Beberu hatuoangii kitu
 
Mimi niko huku UN wewe boya huko vijiwe vya Kahawa.....
 
Si wangenunua za urusi au china , kuepuka hayo mapungufu ya kurusha "hedikopta" mbovu isiyo na matengenezo rasmi
 
We unabishana na huyo!?
Mtu anayekwambia Russia anategemea kuuza silaha peke yake.
Hajui hata vyanzo vya mapato ya Russia,hajui kama Germany na mataifa mengi ya Ulaya yananunua gesi na petroleum Russia.
Unajua kuna fedha na Mali nyingine za urusi zimezuiwa, unajua madhara ya vikwazo Kwa urusi, Kwa Nchi za ulaya magharibi kuacha au kupunguza manunuzi
 
Haiwezekani tuwaogope ndani ya nchi. Hii ni Tanzania bwana tunaweza kuichapa hata marekani
 
Hahaha hahaha, halafu kesho au kesho kutwa tunaenda kuomba fedha zao, bahati yetu tuliongea LOKO LANGUEJI, hebu tuongee U'NGE U'NGE tuone, mapema Jumamosi asubuhi tungepitisha sheria ya ushoga.
Hawana mihemuko, wanajua tu utakuja, hawatumi mabavu , bali sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…