Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.

Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao

Hivi ni lazima wao tu ndio wawe Viongozi? Kwani hawawezi kuacha huo wanaoita uongozi na wakawa kama sisi? Kwani wakiwa huku nchi hawezi kuishi bila wao? Mbona wanafanya kam vile bila wao hii nchi haiwezi kwenda?
 
Mkuu unataka taifa litangaziwe msiba kila mwezi?hao hawana uwezo wa kuishi maisha ya mtaani na ndiyo maana wanarithishana Utawala na watoto wao.
(FATHER TO SON SCHEME PROJECT)
 
Hicho kitu hakiwezekani yaani warudi kwenye kupanda daladala huku wameacha V8 na mademu wakaliii
 
Siasa ni tamu, asikuambie mtu. Hebu fikiria Mbunge anayejua tu kusoma na kuandika, mwisho wa mwezi analamba milioni 12! Akihudhuria kikao, analamba laki 3! Halafu kila baada ya miaka 5 anapewa mafao yake yanayokadiriwa kuwa milioni 250!

Vipi kuhusu Spika, Naibu wake, mawaziri na Rais wao! Huko ndiyo balaa zaidi. Maana wanaishi maisha ya peponi.
 
Ili na wao wakayahisi tunayohisi sisi...kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.

Kiuhalisia...kwa sababu:-
Rais HAWEZI HISI MADHARA YA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA...WALA WAZIRI WALA MBUNGE...HAWAWEZI ONA MACHUNGU YA KUPANDA KWA BEI KUNAKOSABABISHWA NA KODI ZAO.

HIVI NI LAZIMA WAO TU WAWE VIONGOZI...? KWANI HAWAWEZI ACHA HUO WANAOITA UONGOZI WAKAWA KAMA SISI...? KWANI WAKIWA HUKU CHINI NCHI HAIWEZI ISHI BILA WAO...MBONA THEY MAKE IT AS IF HII NCHI BILA WAO HAIENDI.
Kama watu wameanza kufikiri hivi, bila shaka wamechoka!
 
Daah! Mkuu we acha2 tunateseka sana huku mitaani hali ngumu viongozi wetu hawajali wanakula bata.
 
HIVI JESHI LA NCHI LINASUBIRI NCHI IWE KAMA JANGWA LA SAHARA NDIO WAINGILIE KATI...? WENYEWE HAWAONI...WENYEWE NDIO WAZALENDO ZAIDI KULIKO SIE.
 
Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.

Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao

Hivi ni lazima wao tu ndio wawe Viongozi? Kwani hawawezi kuacha huo wanaoita uongozi na wakawa kama sisi? Kwani wakiwa huku nchi hawezi kuishi bila wao? Mbona wanafanya kam vile bila wao hii nchi haiwezi kwenda?
Subiria wakichoka uongozi watatwambia!!! Wahenga walisema," Aliyoko juu, mngoje Chini"
 
Back
Top Bottom