AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Kama watu wameanza kufikiri hivi, bila shaka wamechoka!Ili na wao wakayahisi tunayohisi sisi...kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.
Kiuhalisia...kwa sababu:-
Rais HAWEZI HISI MADHARA YA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA...WALA WAZIRI WALA MBUNGE...HAWAWEZI ONA MACHUNGU YA KUPANDA KWA BEI KUNAKOSABABISHWA NA KODI ZAO.
HIVI NI LAZIMA WAO TU WAWE VIONGOZI...? KWANI HAWAWEZI ACHA HUO WANAOITA UONGOZI WAKAWA KAMA SISI...? KWANI WAKIWA HUKU CHINI NCHI HAIWEZI ISHI BILA WAO...MBONA THEY MAKE IT AS IF HII NCHI BILA WAO HAIENDI.
Subiria wakichoka uongozi watatwambia!!! Wahenga walisema," Aliyoko juu, mngoje Chini"Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.
Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao
Hivi ni lazima wao tu ndio wawe Viongozi? Kwani hawawezi kuacha huo wanaoita uongozi na wakawa kama sisi? Kwani wakiwa huku nchi hawezi kuishi bila wao? Mbona wanafanya kam vile bila wao hii nchi haiwezi kwenda?